Super breakfast za kishua na za kitaa

Kaka umeposti unachokula sasahivi, 😋😋 au unachotamani kula siku za usoni😅😅?
Hiki ndio nimekula muda si mrefu.. Ila huku niliko hakuna kiropo cha wali ndondo nakimiss sana😋😋😋
 
All are fried foods and starches Bora supu ya samaki, kuku ,matunda and vegetables ningekubali kinyama.
Hizo oil lubricants sio nzuri kabisa na ndio mana mavitambi hayaishi, Kuna muda unakuwa na hela Ila hela yako inakumaliza mwenyewe.

Mhogo uliochemshwa, yai la kuchemsha, karanga pembeni za kukaanga ama za kuchemshwa na maziwa ya ng'ombe halisi ya kienyeji asikuambie hii kitu , kuku wawe wale wanaojitafutia chakula wenyewe wanapata natural not man made vitamins
 
Nimeweka mixer mbona..
 
Waliojitafuta..waliojipata tayari.. Nyoronyoro wasiofanya kazi ngumu..na wasiopenda unene.. Ila wamenona hao🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…