Yaani leo ni siku nzuri sana.......kweli hi ni Super Sunday.....kuanzia kwa kaina Chelsea Vs Aresrnal mpaka Miami..........
Haya Mazee Super Moderator Abby......usichoke kuweka mapicha........
Mkuu BAK.....Saints wanachukua hii kitu........watch!
Oh! I don't think sooo Mkuu, mwaka wa who dat siyo huu wasubiri kidogo
Mazee umeshuka sunnyside nini!.........yes jamaa wako strong ila tusubiri
Indiana wanaonyesha wamepania NO kazi wanayo....
ahhhh! Nilidhani itakuwa touch down lakini siyo mbali kuwa mbele kwa field goal...siku njema huonekana.....najua bado kuna safari ndefu tu....GO COLTS GO!OPP upo? ha ha ha ha ha
ahhhh! Nilidhani itakuwa touch down lakini siyo mbali kuwa mbele kwa field goal...siku njema huonekana.....najua bado kuna safari ndefu tu....GO COLTS GO!OPP upo? ha ha ha ha ha
I'm so tensed up right now. See you after the game. Who dat?
Field goal tayari hio wakuu na ngoma bado mbichi.
Go Colts!!!!
mambo bado BAK....watch!
mambo bado BAK....watch!
aaaghh kumbe wee mazee upo huko.....haya bana.........usisahau picha.....aisee........