Super Bowl XLIV - 2010

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,227
1,548

logo%202010-Super-Bowl.gif

manning-brees2-pd.jpg

Yaani leo ni siku nzuri sana.......kweli hi ni Super Sunday.....kuanzia kwa akina Chelsea Vs Arsernal mpaka Miami..........

Haya Mazee Super Moderator Abby......usichoke kuweka mapicha........
 
Yaani leo ni siku nzuri sana.......kweli hi ni Super Sunday.....kuanzia kwa kaina Chelsea Vs Aresrnal mpaka Miami..........

Haya Mazee Super Moderator Abby......usichoke kuweka mapicha........

Huyu ni Super MOD kwa kweli anahitaji pongezi kwa kazi yake nzuri sana. Who dat 27 Colts 35 ;)
 
Mkuu BAK.....Saints wanachukua hii kitu........watch!
 
Indiana wanaonyesha wamepania NO kazi wanayo....

ahhhh! Nilidhani itakuwa touch down lakini siyo mbali kuwa mbele kwa field goal...siku njema huonekana.....najua bado kuna safari ndefu tu....GO COLTS GO! :) OPP upo? ha ha ha ha ha
 
ahhhh! Nilidhani itakuwa touch down lakini siyo mbali kuwa mbele kwa field goal...siku njema huonekana.....najua bado kuna safari ndefu tu....GO COLTS GO! :) OPP upo? ha ha ha ha ha

I'm so tensed up right now. See you after the game. Who dat?
 
Duh, mie yoyote atakayeshinda poa tuu, ila kwa kuwa I secretly support Dirty Birds nadhani I will go with Colts.
 
ahhhh! Nilidhani itakuwa touch down lakini siyo mbali kuwa mbele kwa field goal...siku njema huonekana.....najua bado kuna safari ndefu tu....GO COLTS GO! :) OPP upo? ha ha ha ha ha

Field goal tayari hio wakuu na ngoma bado mbichi.

Go Colts!!!!
 
aaaghh kumbe wee mazee upo huko.....haya bana.........usisahau picha.....aisee........

Hawa wahuni wa 'Who Dat Nation' waliponiondolea timu yangu na nina
machungu nao mpaka kieleweke tu leo. Nilikua Vikings damu mpaka
walipomtembezea mkulu Bret Favre kipigo.

Anyway tucheki mdebwedo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom