Supa Ghee

mi sion kosa liko wapi mbona poa tu kama uko mwenyewe si unajiachia tu kwa raha zako....??lol.....jamaa yuko kikazi zaidi!anatisha!
 
Angalieni picha za kuleta humu na si kuleta picha ya jamaa yako au mtu ambaye yupo katika chumba chake na kumweka hadharani
Heshimu uhuru wa mtu na si kila mara kuchukua ya chumbani na kuweka sebuleni.

Haijajulikana je jamaa anasoma au la? na si nzuri kwa watoto wetu vijana wanaosoma

Chujeni picha za kuleta na pia wewe utaheshimika lakini kwa picha hii yaonyesha mletaji ni wale wale wa picha hii!
 
Mtu yeyote hawezi fanya hii kitu, Huyo ni Mbuzi Mzee anatafuta picha za ku-post JF-Photos.
 
St Paka Mweusi, unaona wenzako wanakula upepo wa Beach?
 
Na huyo wa kibongo,anafanya mazoezi ya kwenda world bathing day?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…