Supa Ghee

duh.........mie napita tu hapa nsije nkasomewa dua kama mama wa pale mjengoni...
 
Mkuu, Mbuzi mzee, huwa na penda sana picha zako ila hii naona inaonesha dharau ktk imani kitu ambacho sio chema.


Mkuu naomba sana mnisamee na Mod please take this post out. Please Mod delete this post.

Samahani sana wakuu
 
Hiyo ni dharau kwa dini ya watu wewe Mbuzi Mzee vinginevyo utaliwa siku ya Iddy kama si hii ile ya kuchinja.

Mkuu sikuwa na any thought of undermining someones faith. I ask your forgiveness for this. Idea ilikuwa to make JF happy as usual.
 
Hivi huyo jamaa angekuwa hajavaa kanzu pia ingekuwa dharau kwa imani ya watu?
 
inquisitive mind, that develops from when a kid is born up to age of 7.
 
mmmmmmmmmmbbbuuzzzzzzzzzzzzzzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…