mie mtu akisema anachezewa, kama vile kuna sehemu za mwili wake zinabonyezwa kama kitenesi na kudundishwa dundishwa kwa kutumia vidole.
Aaaah mwalimu!!! Angekuwa msanifu majengo je?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahaaa, asante kwa ushauri. Tulichezeana ila mwenzangu akanikimbia nikiwa kwenye hali ngumu. Aliwa kunipigia na kuniuliza naendeleaje nikamwambia nimeshaoa.
ntagegedwa vipi na mtu namzidi?
Kama ananigegeda na darasani agegede masomo.
Ha ha ha, mimi ni pale ninapocheza na gear (kama vile naibadilisha toka 2 kwenda 3). LOL
Ahhaah, kumbe wanaume hamCHEZEWI ni wanawake tu ndio tunaCHEZEWA.
Seriously najua wote mlikuwa mnaCHEZA mchezo wa baba na mama hoping mtakuwa baba na mama; mwenzako akaamua kuacha kucheza na wewe. So usijali utapata mwingine ambaye atakuwa mama wa watoto wako bila kuigiza!
ye mwenyewe alikuwa kilaza tu. Kwani hata kuingia chuo alireseat ndo akapata nafasi.
usijali mkuu pole sana na nondo za muhas , department ya kina matuja nini hiyo?
mkuu kuna wanawake wapo matured na wanaojitambua ,usihofu utapata tu wewe endelea na maisha .
vp internship wapi?
ntagegedwa vipi na mtu namzidi?
Kama ananigegeda na darasani agegede masomo.
nashukuru mzee. Ni hiyo hiyo department. Kwa ambaye yuko out of medicine hawawezi kujua situation zilizomo ndani yake.
hapo poa, ukizingatia wewe ulikuwa medicine.
Tatizo napata kama tuko kozi moja, darasa moja, afu mie nimzidi, najisikia vibaya.
ntagegedwa vipi na mtu namzidi?
Kama ananigegeda na darasani agegede masomo.
hatukuwa darasa moja na pia vyuo tofauti. Hata hivyo i was wel mpaka mwenyewe ungenikubali sema niliangukiwa na wakware kwenye clinical exam wakaniangukia. Kwa waliopita muhas/muchs wanajua hali halisi ya mahali pale.
usijali mkuu pole sana na nondo za muhas , department ya kina matuja nini hiyo?
mkuu kuna wanawake wapo matured na wanaojitambua ,usihofu utapata tu wewe endelea na maisha .
vp internship wapi?
Hapo sasa mie mwanaume nayemzid upstairs hanigegedi ng'o na haijawah tokea...
pole na hongera kwa kumaliza.
Sasa utawachambua hadi ukimbie.
Hahahaaaa you dont know what you are missing!!!!!!!! Upstairs is more than class craming capacity!!!!
Sa siungetafuta DM mwenzio! Anayeelewa hayo mazingira yenu, au ulitaka kilaza ili umcontrol vizuri?