Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 669
- 745
- Thread starter
-
- #41
Hhahahah umenikumbisha mbali saaan!!Uko Sahihi, Mikindani hapa
Kweli kabia some time lakini!!Sikuhizi na sisi watz tumeanza kuwa na vihobii vizuri kuliko Ile hobii mbaya mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaap ,mkuu huwa napenda sana kupiga picha Wakati jua linazama mkuu ,Kuna picha Moja nilipiga asubuhi Sana ilikua picha ya mwezi ngoja nitafute nitaiweka hapa!Pamoja Sana mkuudaaah umetisha hasa hiyo ya kuvuka nimeielewa saaana!!
Yaaap Ni Lebanon mkuu! Nilizipiga kama nane hiv picha nzuri sana
Picha ni moja kati vitu vizuri duniani !!Yaaap ,mkuu huwa napenda sana kupiga picha Wakati jua linazama mkuu ,Kuna picha Moja nilipiga asubuhi Sana ilikua picha ya mwezi ngoja nitafute nitaiweka hapa!Pamoja Sana mkuu
Picha zitaungua!!Uje na za "Watu wasiojulikana"
,picha hizo pia nilipiga asubuhi Sana nilikua ndani ya Basi !hiyo Moja ya mwisho ilikua video nikaipiga screenshot ka unaoina hapo! Mwezi wa August/ 6/2017 maeneo ya Kongwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]