Sungura wa NCCR amwagiwa tindikali machoni

:iamwithstupid:.....e bwana ee...mmemskia waberoya leo...? Just ignore him, besides, he's come much better today. He can be a lot worse than that at his best!

They can not ignore me! I have written they have passed on my posts! They are now thinking differently! thats what I want.....kila siku tunadanganyana tu humu
 
Tusubiri polisi jamani tuone watasemaje

Kubenea alimwagiwa tindikali kisa anachukua mke wa mtu , wamwagiaji tindikali wakapoteza lengo na kummwagia mpaka mzee wetu.

Leo hii kesi haijulikani imeisha vipi, hao mafisadi waliotumwa ni akina nani, ila Kubenea ana uwezo mpaka wa kusaka docs. za ikulu na BOT! mpaka meseji ambayo JK kamwandikia Halima mdee!! Ila kuwapata waliommwagia tindikali hawezi!

Nchi hii balaa unaweza kuwadanganya watu muda fulani ila si muda woote na kwa watu woote!

Pole Sungura though, lets wait for report police kama umebeba mali ya watu unalo, kama ni mbinu za mafisadi sijui, sijasikia ukisunguruka kugombana nao, so in a preliminary evaluation it has nothing to do na mafisadi. Ngau Kubenea alifanikiwa kuwadanganya watu mtaani kwetu!

LOL! ona waliodanganywa watakavyonishukia, acha nikimbie!! niiponye roho yangu
Waberoya ungekuwa mwanamke ungekuwa unachokonolewa hadi machoni kwa umbeya.
 
binafsi hata sijawahi kumsikia.....labda ni migogoro yao ya ndani kwenye chama au hata mafisadi
 
Waberoya, JK kamwandikia Halima Mdee meseji lini?

Huyo ni Waberoya tukisema ni mtu wa fitina wengine hawaamini kamata nyingine hii

.....However, we all know JK ni mdini, maana alianza harakati za udini tangu akiwa UDSM miaka hiyo….na hili fuatilieni

Nani anayejua Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto na alipata tender ya barabara ku-supply kokoto? Is he defending his interest indirectly

I mean we should be careful na watu kama Zitto
 
si CDM wanahusika ndio watendaji. maana wao siku zote wana hasira na NCCR na wanatamani wangempata Mbatia au Mtatiro

chadema wanga kidogo wamemtoa Roho chacha wangwe mchana kweupe, hawa watu hawa? ni mimafia tu
Una uhakika? Tupe evidence basi...
 
Tusubiri polisi jamani tuone watasemaje

Kubenea alimwagiwa tindikali kisa anachukua mke wa mtu , wamwagiaji tindikali wakapoteza lengo na kummwagia mpaka mzee wetu.

Leo hii kesi haijulikani imeisha vipi, hao mafisadi waliotumwa ni akina nani, ila Kubenea ana uwezo mpaka wa kusaka docs. za ikulu na BOT! mpaka meseji ambayo JK kamwandikia Halima mdee!! Ila kuwapata waliommwagia tindikali hawezi!

Nchi hii balaa unaweza kuwadanganya watu muda fulani ila si muda woote na kwa watu woote!

Pole Sungura though, lets wait for report police kama umebeba mali ya watu unalo, kama ni mbinu za mafisadi sijui, sijasikia ukisunguruka kugombana nao, so in a preliminary evaluation it has nothing to do na mafisadi. Ngau Kubenea alifanikiwa kuwadanganya watu mtaani kwetu!

LOL! ona waliodanganywa watakavyonishukia, acha nikimbie!! niiponye roho yangu

Sema hujijui tuu,lakini wewe unaakili kuliko watanzania wote..nakufahamu siku nyingi..keep t up kaka.
 
Tusubiri polisi jamani tuone watasemaje

Kubenea alimwagiwa tindikali kisa anachukua mke wa mtu , wamwagiaji tindikali wakapoteza lengo na kummwagia mpaka mzee wetu.

Leo hii kesi haijulikani imeisha vipi, hao mafisadi waliotumwa ni akina nani, ila Kubenea ana uwezo mpaka wa kusaka docs. za ikulu na BOT! mpaka meseji ambayo JK kamwandikia Halima mdee!! Ila kuwapata waliommwagia tindikali hawezi!

Nchi hii balaa unaweza kuwadanganya watu muda fulani ila si muda woote na kwa watu woote!

Pole Sungura though, lets wait for report police kama umebeba mali ya watu unalo, kama ni mbinu za mafisadi sijui, sijasikia ukisunguruka kugombana nao, so in a preliminary evaluation it has nothing to do na mafisadi. Ngau Kubenea alifanikiwa kuwadanganya watu mtaani kwetu!

LOL! ona waliodanganywa watakavyonishukia, acha nikimbie!! niiponye roho yangu
hivi huwezekano kupata docs za ikulu na kujua msg ambayo jk kamuandikia mdee, unalingana na uwezekano wa kupeleza njama na hatimaye kumpata adui, mh!.

Kumbe jasusi na mwandishi wa habari wana skills sawa, kiasi kwamba unaweza ukawachukua waandishi ukawatuma wakafanye ujasusi!!!???...
 
si CDM wanahusika ndio watendaji. maana wao siku zote wana hasira na NCCR na wanatamani wangempata Mbatia au Mtatiro

chadema wanga kidogo wamemtoa Roho chacha wangwe mchana kweupe, hawa watu hawa? ni mimafia tu

conspiracy theory ktk matukio ni kitu cha kawaida, lkn conspiracy lazima iwe na supportive situatiotinal or symbolic evidances.
lakina post yako nashindwa kuigroup coz i cant call it a conspiracy theory, ila angekua makamba ingesema ni UMBEA NA MAJUNGU, ambayo mimi kisailojia ningesema yamesababishwa na wivu.
 
CDM haiwezi kufanya mbinu za kuwatia watu vilema ,hakuna historia hiyo na haitegemewi kutokea
 
Kuna vijineno mitaani kwamba kuna chama kimehusika moja kwa moja na ile habari kwamba MKUU wa Idara ya Organaizesheni Kampeni na Uchaguzi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kumwagiwa machoni maji yanayodhaniwa kuwa ni tindikali. Mwenye data za uhakika kuhusu chama hiki atujulishe tafadhali. Ni kitendo ambacho si cha kiungwana kwa kweli.
 
Yeah,nahisi kafulia ndo ame mwagia huyo!
Atupiliwe jela akatulie huko
 
Nimeangalia news za chanel ten na clouds tv wametangaza yule MKUU wa Idara ya Organaizesheni Kampeni na Uchaguzi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kumwagiwa maji yanayodhaniwa kuwa ni tindikali.

amelazwa Muhimbili kwa kumwagiwa tindikali machoni! Mwenyekujua sorce ya huyu mtu kumwagiwa tindikali atujuze

Amepona?
 
binafsi hata sijawahi kumsikia.....labda ni migogoro yao ya ndani kwenye chama au hata mafisadi
Comfirmed! Alibeba mke wa mtu...kavizia\ mwenye mke kaenda Loliondo yeye akajisevia mai waifu wa mtu, jamaa karudi kapewa ei tu zedi kaamua kumwagia tindikali. hata hivyo mpango ulikuwa ni kumtoa roho
 
Back
Top Bottom