Sungura wa NCCR amwagiwa tindikali machoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sungura wa NCCR amwagiwa tindikali machoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr wa ukweli, Apr 3, 2011.

 1. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nimeangalia news za chanel ten na clouds tv wametangaza yule MKUU wa Idara ya Organaizesheni Kampeni na Uchaguzi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kumwagiwa maji yanayodhaniwa kuwa ni tindikali.

  amelazwa Muhimbili kwa kumwagiwa tindikali machoni! Mwenyekujua sorce ya huyu mtu kumwagiwa tindikali atujuze
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mambo ya akina Kubenea tena!! Hii nchi ni balaa.
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unatafutwa umaarufu wa nguvu eti nccr ndio chama cha upinzani mpaka mtoa habari amemwagiwa tindikali tetetee. Upande mhimu uchunguzi utathibitisha source
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Tusubiri polisi jamani tuone watasemaje

  Kubenea alimwagiwa tindikali kisa anachukua mke wa mtu , wamwagiaji tindikali wakapoteza lengo na kummwagia mpaka mzee wetu.

  Leo hii kesi haijulikani imeisha vipi, hao mafisadi waliotumwa ni akina nani, ila Kubenea ana uwezo mpaka wa kusaka docs. za ikulu na BOT! mpaka meseji ambayo JK kamwandikia Halima mdee!! Ila kuwapata waliommwagia tindikali hawezi!

  Nchi hii balaa unaweza kuwadanganya watu muda fulani ila si muda woote na kwa watu woote!

  Pole Sungura though, lets wait for report police kama umebeba mali ya watu unalo, kama ni mbinu za mafisadi sijui, sijasikia ukisunguruka kugombana nao, so in a preliminary evaluation it has nothing to do na mafisadi. Ngau Kubenea alifanikiwa kuwadanganya watu mtaani kwetu!

  LOL! ona waliodanganywa watakavyonishukia, acha nikimbie!! niiponye roho yangu
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nimemwona macho yayafunguk na yamevimba, Kama ni mpango wa mafasidi kumwagia watu tindikali je kwa wapambanaji wengne usalama wao uko wap?
   
 6. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huyu mzee hana makuu na mtu, inakuwaje wanamtenda hivi?
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Hawakawii kusema na cdm! Tusubiri tusikie!
   
 8. 2015ready

  2015ready JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hata wakimpofusha macho, ni mdomo utakao ongea na kutoa siri za mafisadi.
   
 9. U

  Uswe JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kweli RA ni mafia!
   
 10. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Very interesting.......
   
 11. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Utazani ni toto dogo lililoandika hapa, kweli wewe ni mwalimu kweli?
   
 12. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Waberoya, JK kamwandikia Halima Mdee meseji lini?
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Hili nalo neno!
   
 14. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mbona jamaa mpole sana, asijekuwa mjanja kama sungura mnyama ndani ya chama wakamfanyizia wenzake, ila mtaani utasikia tu cdm wanahusika. habari za kitelegensia
   
 15. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  si CDM wanahusika ndio watendaji. maana wao siku zote wana hasira na NCCR na wanatamani wangempata Mbatia au Mtatiro


  chadema wanga kidogo wamemtoa Roho chacha wangwe mchana kweupe, hawa watu hawa? ni mimafia tu
   
 16. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu maneno yako ni makali kidogo, chadema wanahusika vipi na kumwagia tindikali huyo sungura hatujawahi sikia hata siku muoja wakilumbana na cdm, hilo la chacha wangwe lingekuwa na ukweli chadema siku nyingi kingeumbuka au hata kufa kabisa lakini ndio kinazidi kukubalika kadri siku zinavyokwenda.
   
 17. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mpaka meseji ambayo JK kamwandikia Halima mdee!! I

  Waberoya, elezea hii issue
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Weka envidence jamvini acha mambo ya kijiwe cha gahawa.
   
 19. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngoja tusubiri taarifa za ki intelegensia kutoka kwa Shemeji IGP........haka ka nchi yania ukiwa na:A S-key::A S-key::A S-key: tabu kweli kweli
   
 20. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  :iamwithstupid:.....e bwana ee...mmemskia waberoya leo...? Just ignore him, besides, he's come much better today. He can be a lot worse than that at his best!
   
Loading...