Sungura na muuza karoti

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
423
1,000
Sungura mmoja aliingia dukani na kuuliza
"Mna karoti?".
Wakamwambia, "Hapana, Hatuna".

Siku iliyofuata Sungura akaingia tena na kuuliza ," "Mna karoti?".
Wakamjibu kwa hasira "Tulishakwambia hatuna karoti. Usirudie kuja kuuliza tena karoti, ukirudia tutachukua msumari na nyundo tukutoboe kichwa"

Siku ya tatu Sungura akaenda tena ,akauliza "Mna nyundo? Wakamjibu hapana . Akasema ; "Vipi kuhusu misumari?" Wakamjibu, "Hatuna"! Kwa utulivu akauliza tena; "Mna Karoti?"
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
4,402
2,000

What is the theme of the story?
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
5,647
2,000
OK, thanks!
Then, what is the moral of the story?
Your have read the story, isn't it?
Anyway it goes like this....., when you decide to threaten someone, make sure you have the capacity to handle him, just in case he is likely to take that other option of welcoming your threats or confrontation. On the very day Sungura came back to the Grocery store, after Sungura's quick assessment and interrogation with the grocerer, thereafter, had he decided to command him "hands up" , the man could have easily responded,....., that man had obviously no knolwegde of what weapon Sungura mgiht have came back with. You never know, probably Sungura had a pistol or something similar, hidden with hin in his wrappings he was wearing on the day!
Au pengine yeye Sungura ndiyo alirudi akiwa na nyundo pamoja na misumari, kuja kumpiga yeye kama alivyokuwa ameahidi yeye kumpiga sungura.
Nilicheka sana namna sungura anavyoweza kuweka trick zake. Inakumbusha JKT tulikuwa wakati mwgine tunatumia akili za namna hii kukwepa kuumia na mtulinga wa Jeshini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom