The Mockingjay
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 380
- 121
Pole Pasco na wenzio akina Semboja na Utoh, asifuye mvua imemnyea. Yote hayo munayoongea naona hamumjui vilivyo Blandina. She is a crook whose correct place is jail only. Subiri tuone hiyo tume itakavyosema maana ushahidi wa wizi wake uko wazi.
Taifa letu limekuwa la propaganda.
Mtu yoyote anayeweka discpline serikalini atachukiwa sana na kuwekewa mizengwe.
Vile vile wananchi wanaamini sana media. Ukweli saa nyingine ni far from what we read.
Huyu mama anachukiwa sasa sababu hasa ya misimamo yake.