Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

Pole Pasco na wenzio akina Semboja na Utoh, asifuye mvua imemnyea. Yote hayo munayoongea naona hamumjui vilivyo Blandina. She is a crook whose correct place is jail only. Subiri tuone hiyo tume itakavyosema maana ushahidi wa wizi wake uko wazi.

Taifa letu limekuwa la propaganda.
Mtu yoyote anayeweka discpline serikalini atachukiwa sana na kuwekewa mizengwe.
Vile vile wananchi wanaamini sana media. Ukweli saa nyingine ni far from what we read.
Huyu mama anachukiwa sasa sababu hasa ya misimamo yake.
 
Wewe na wenzako ndio mnafanya propaganda ya kumsafisha blandina nyoni. Yule mama ni mwizi tu na mnaomtetea huenda mmekamatishwa bahasha.
Tangu aingie MOHSW amefanya kitu gani tangible hadi kumfanya bora kuliko watangulizi wake?
 
ni kweli ana misimamo ya kutukosesha haki yetu ya kupata matibabu mazuri kwa kuhamishia fedha zote apolo na kwenye miradi yao. Hivi we inakuingia akilini national hospital wanarefer wagonjwa kwenda kufanya vipimo tmj? Hata x ray films mnh hakuna! Imejengwa hospitali za moyo kuna mipango ya kuihujumu isianze kufanya kazi ilikuwa inaendelea ili waendelea kutukamua mpaka waondoke na utumbo kabisa.
 
Deo Mwanyika mbunge 2015 Njombe Kusini

Let us support him because of his inspirational ideas, CREATIVE STRATEGIES!

DEO MWANYIKA HOYEE! OUR 2015 MP NJOMBE KUSINI

TUMUUNGE MKONO JANANI WANYALU!

Effects mojawapo za marijuana ndo hizi,flight of ideas and hallucinations
 
Hakuna ubishi Mama Nyoni amefanywa kondoo tuu wa kafara!. Ila pia nimependa comments za CAG!. Uttouh alipoteuliwa CAG, Mama Nyoni alikuwa Accountant General, CAG akawashutumu vijana wa Nyoni (accoutants) ndio chanzo cha ripoti chafu za ukaguzi!, Mama Nyoni akawatetea vijana wake kwa nguvu zote na kuwavurunishia makombora vijana wa Uttoh (auditors) kuwa wanakuja kufanya ukaguzi, wanakuja na pre conceived malice ya fault finding kuwa pesa zimeliwa, hivyo wanakuja na ma audit query kibao hata kama majibu yapo hawapokei na kuishia kuandika adverse opinion!. Haikupita mwezi, Mama Nyoni akang'olewa as Accountant Geberal!.

Pamoja na shutuma kibao kwa huyu mama, kiukweli ni smart upstairs, personal look na wizara zote alizopita!. Tazameni banda la Maliasili pale Sabasaba!. Mliobahatika kupita banda la Wizara ya Afya Miaka 50 ya Uhuru mtakubaliana na mimi.

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!.

Kweli MITANZANIA ndivyo tulivyo!!!!!
TOO LOW kwako Bro! Kujisifia UPUZIIIIIII HUUUUUUUUUUUU!
 
Wewe na wenzako ndio mnafanya propaganda ya kumsafisha blandina nyoni. Yule mama ni mwizi tu na mnaomtetea huenda mmekamatishwa bahasha.
Tangu aingie MOHSW amefanya kitu gani tangible hadi kumfanya bora kuliko watangulizi wake?

PASCO atakuambia hukuona Nanenane walivyopendeza kweney banda la aafya?
wamenunuliwa Uniform!!!!
 
Dear Artorius pole sana kwa kukukwaza.Ni kweli hizi contributions 2 nilizikosea kuweka ktk thread hii. Poleni sana waugwana.Sijalewa kileo chochote na huwa si mnywaji wa kileo chochote.

I still stick on my point that B. Nyoni anaonewa, mpaka sasa hajatendewa haki. She has been condemned unheard. Let us hear her said of the story. Wale mafisadi walioota mizizi ktk wizara ya afya kwa kuyahusisha makampuni yao au wenye masilahi nayo ktk manunuzi ya vitu mbalimbali vya wizara hii, ambao B.Nyoni alipoingia alikata ma-pipe yao ya kiuchumi bila ganzi ndio waliomsukia zengwe.

Take note: Madaktari hao hao mwanzoni waliapa kuwa hawawezi kurudi kazini mpaka Waziri,naibu waziri, katibu mkuu(PS) na mganga mkuu wamejihuzuru. Baada ya kusimamishwa kazi B.Nyoni na Mganga mkuu, madaktari hao hao wamekaa kimya,wanaendelea na kazi kama kawaida, na hawasemi chochote kuhusu waziri na naibu waziri kuwajibika kwa kujihuzuru.

Argument hii ina prove kuwa mlengwa mahususi hawakuwa mawaziri wala mganga mkuu, bali mlengwa halisi wa saga hilo alikuwa ni B.Nyoni.
KOSA LAKE: Alifunga mirija ya watu ya kunyoea fedha za wizara.Sasa mirija imeunganishwa tena wapo kimya kabisa.
 
Hakuna ubishi Mama Nyoni amefanywa kondoo tuu wa kafara!. Ila pia nimependa comments za CAG!. Uttouh alipoteuliwa CAG, Mama Nyoni alikuwa Accountant General, CAG akawashutumu vijana wa Nyoni (accoutants) ndio chanzo cha ripoti chafu za ukaguzi!, Mama Nyoni akawatetea vijana wake kwa nguvu zote na kuwavurunishia makombora vijana wa Uttoh (auditors) kuwa wanakuja kufanya ukaguzi, wanakuja na pre conceived malice ya fault finding kuwa pesa zimeliwa, hivyo wanakuja na ma audit query kibao hata kama majibu yapo hawapokei na kuishia kuandika adverse opinion!. Haikupita mwezi, Mama Nyoni akang'olewa as Accountant Geberal!.

Pamoja na shutuma kibao kwa huyu mama, kiukweli ni smart upstairs, personal look na wizara zote alizopita!. Tazameni banda la Maliasili pale Sabasaba!. Mliobahatika kupita banda la Wizara ya Afya Miaka 50 ya Uhuru mtakubaliana na mimi.

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!.

we unamtathmini katibu wa wizara kwa banda lililoko sabasaba???bila shaka ulizaliwa kama njiti(premature) ndo maana akili yako iko hivo ilivyo!
 
At least mfanyakazi mmoja wa wizara alisema heri aondoke maana aliziba mianya ya kula hela!!! serikali ili upendwe lazima ukubali vikao vya vikosi kazi vifanyike Bagamoyo, Morogoro.

Ati yeye alikuwa anasema vikao vifanyike kwenye conference rooms za TFDA au sijui TAKIRI or something like that...

pole sana mama nchi hii imekwisha... lakini I can assure you umeonyesha kwama wewe ni zaidi... hii ilikuwa muhimu itokee kwenye life yako kuonyesha uko tofauti na wengi.
 
Moma2k,madaktari hawajakaa kimya,wana mkutano tarehe 3rd march to evaluate how much the government has implemented their resolutions,let's wait hiyo tarehe.
Kuhusu blandina kaonewa au la tusubiri uchunguzi umalizike and then justice will be served accordingly
 
yaliyo andikwa na mwandishi ni ukweli mtupu, ila tanzania ya leo msema kweli huna nafasi tena, huyu mama na wengi wanao fanya kazi ngumu ya kupambana na wezi nchi hii sasa hawana nafasi tena. aliwabana sana watu pale afya wanamchukia sana lakini kwa sababu ya masilahi yao na sio ya nchi. mimi nasikitishwa sana na watu wanao msingizia huyu mama nyoni, kuwa ps wewe ndiyo accounting officer wa wizara zima, usipo fuatilia hata katibu mtasi akimissuse pesa za wizara unawajibika wewe. sasa kama uko smart utakubali huo ujinga. wanao piga makelele ni wale walio nyanganywa tonge mdomoni.
 
tuache tabia ya kupenda na kushabikia mambo bila hata kuelewa kwa undani, kama mama nyoni hafai basi sithani kama kuna kiongozi ndani ya hii serikali anapaswa kubaki. (tuache tabia yakufurahiya matatizo ya watu wengine bila kujua hata ukweli) huu ni wivu wa hali ya juu, hatuwezi kwenda kokote kwa kuishi kwa wivu na ushabiki.
 
My worry is that if such scrupulous decisions of this nature are taken as a "fire work"solution on any sort of mgomo, then we should be ready to loose so many totally committed and hard working professionals in the carder of civil servants, because of the personal malicious and demoniac narrow interest of some few corrupt guys in the system. The things speak in themselves that the health Ministry is full of corrupt guys, especially at its head quarter. People are swimming in the pool of dubious deals!
Watu hao hao wanamtuhumu B.Nyoni kwa duka la nguo.Hiki mbona ni kitu kidogo sana, na kikatiba ana haki ya kuwa na mali.Hivi ni haki mtu aachishwe kazi ya u PS kwa sababu ya duka la nguo? Aachishwe u PS kwasababu ya catering services ambazo hata mama ntilie wanafanya?

My dear friends, when discussing such matters we must have a special regard on the contribution of B.Nyoni to the broad interests of our nation.

My take: If B.Nyoni is going to be punished by whatsoever punishment, then that will be a sole prove that MAFISADI have worn a vigorous war against the innocent(just) ardent protectors of the resources of our beloved nation. This will be a curse to our nation. JK and Pinda should exercise due diligence in resolving this matter. Otherwise it is going to demoralized so many good and faithful civil servants in our country.
 
Imesha toka hiyo wale mliokua mnafaidika na uwepo wake hapo Afya muanze kujipanga upya!
 
wewe ndiyo ulikuwa unaiba sasa umebanwa mbavu unaleta majungu selikali ninafahamu kila kitu usipoteze muda bado mutashughulikiwa vizuri mpaka makamasi yatawatoka. nyakati za kuiba mchana zimekwisha, nyakati za mtumishi anakuwa na imprest za 200m bila kufanya retirement zimekwisha, habari ya madakitari kujazana wizarani na kuacha hospital zetu zikiwa hazina madr na kuvizia safari hata kama sio specialization yake umepita. training ya cancer inje ya nchi anakwenda dr wa macho hq hiyo ndiyo ufisadi, missiuse of public fund.
 
wewe ndiyo ulikuwa unaiba sasa umebanwa mbavu unaleta majungu serikali inafahamu kila kitu usipoteze muda bado mutashughulikiwa vizuri mpaka makamasi yatawatoka. nyakati za kuiba mchana zimekwisha, nyakati za mtumishi anakuwa na imprest za 200m bila kufanya retirement zimekwisha, habari ya madakitari kujazana wizarani na kuacha hospital zetu zikiwa hazina madr na kuvizia safari hata kama sio specialization zao umepita. training ya cancer nje ya nchi anakwenda dr wa macho hq hiyo ndiyo ufisadi, missiuse of public fund.:lol:
 
At least mfanyakazi mmoja wa wizara alisema heri aondoke maana aliziba mianya ya kula hela!!! serikali ili upendwe lazima ukubali vikao vya vikosi kazi vifanyike Bagamoyo, Morogoro.

Ati yeye alikuwa anasema vikao vifanyike kwenye conference rooms za TFDA au sijui TAKIRI or something like that...

pole sana mama nchi hii imekwisha... lakini I can assure you umeonyesha kwama wewe ni zaidi... hii ilikuwa muhimu itokee kwenye life yako kuonyesha uko tofauti na wengi.

huyu mama ...kama nilivyosimamia awali naendelea kusimamia hilo...!
HaKUpata utetezi wa mabosi zake rais na waziri mkuu....ukweli ni kuwa wizara ya afya pameoza pameoza hapafai........kosa kubwa la huyu mama...ni kutaka kurudisha descipline pale....
Hatua inayopasa kuchukuliwa sasa pale wizarani ni kuleta team mpya kabisa......maana hata akija malaika pale kwa team iliyopo pale wizarani atapigwa majungu tu...,tuwapekeke hawa madaktari wote pale mikoani ....wakaone namna wenzao wanavyopata taabu..ili siku nyingine wakipata fursa waache kuchakachua .....,,
Usalama wa Taifa walisimamie hili.....kuna madaktari wengi tu ...walio pembezeni wanaojuwa uchungu wa wenzao walio pembezoni..ie Kigoma,Kagera,Tabora...etc......ni wakati sasa waletwe makao makuu kuongoza idara mbali mbali pale......na hawa mchwa ..nao waende huko ..wakiamua kuacha kazi basi!!

Itakuwa kosa kubwa sana kubakisha team iliyopo sasa pale wizarani....kama wao waliona katibu mkuu hafai ...basi the whole team...wakurugenzi ..na wafanyakazi wa vitengo pale watoke ije team mpya kabisa ...itakayoweza kutii katibu mkuu atakayechaguliwa na Rais.........pia angalieni ratio ya wafanyakazi pale....kuna wataalamu wengi kuliko mahitaji halisi...ifanyike human resource audit kuweza kutambua mahitaji halisi yanayostahili kubakia pale.....

Nadhani wajiandae kufungasha....massive transfers are on the way!

kuhusu mama nyoni ....apewe muda wa kupumzika na ku recover hadi uchunguzi dhidi yake ukamilike.....inaeleweka binadamu sio malaika ..pamoja na utawala wake mkali anaweza pia kuwa na makosa.....!
NADHANI ATAFAA SANA KURUDI HAZINA KU MANAGE DESCIPLINE YA BUDGET NA REVENUE COLLECTION KWA NCHI NZIMA ..BEHIND THE SCENE..SIO LAZIMA A MANAGE WAFANYAKAZI CHINI YAKE ....VIPENGELE MUHIMU KWENYE NIDHAMU YA MAPATO NA MATUMIZI VINAJULIKANA........!
 
Back
Top Bottom