Sunday Citizen Yamtetea Blandina Nyoni leo front page

Philemon unamtetea mama, naungana na wewe kuwa Ndina ana makosa lakini utendaji wake mzuri unaoverweigh makosa yake. Nadhani apewe nafasi nyingine sehemu nyingine tuone vitu vyake.

Naamini wizara ya afya imeoza long ago, it was just a waiting bomb na likalipukia mikononi mwa Blandina.
hebu tu-define utendaji kwanza kabla ya kuanza kusifia
 
Hakuna ubishi Mama Nyoni amefanywa kondoo tuu wa kafara!. Ila pia nimependa comments za CAG!. Uttouh alipoteuliwa CAG, Mama Nyoni alikuwa Accountant General, CAG akawashutumu vijana wa Nyoni (accoutants) ndio chanzo cha ripoti chafu za ukaguzi!, Mama Nyoni akawatetea vijana wake kwa nguvu zote na kuwavurunishia makombora vijana wa Uttoh (auditors) kuwa wanakuja kufanya ukaguzi, wanakuja na pre conceived malice ya fault finding kuwa pesa zimeliwa, hivyo wanakuja na ma audit query kibao hata kama majibu yapo hawapokei na kuishia kuandika adverse opinion!. Haikupita mwezi, Mama Nyoni akang'olewa as Accountant Geberal!.

Pamoja na shutuma kibao kwa huyu mama, kiukweli ni smart upstairs, personal look na wizara zote alizopita!. Tazameni banda la Maliasili pale Sabasaba!. Mliobahatika kupita banda la Wizara ya Afya Miaka 50 ya Uhuru mtakubaliana na mimi.

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!.
Pasco una matatizo makubwa sana ya akili... na inawezekana kabisa ni ile tamaa ya kufikisha personal goals/grace inayokuendesha hadi kujiweka uchi hivi

Unaweza kuwa smart upstairs na personal look lakini ukawa huna maana, kwa watu waliofanya kazi muhimbili wanawafahamu smart people who used to pee all over their places bila maan.

unajaribu kusifia CAG, hivi haya makashfa yote ya poof funds management na embezzlement yeye alikua wapi?? hakuwa ana-audit??? umeangalia anecdotal ya utouh na nyoni... hivi nani kati yao ni model ya wakaguzi???

RAFIKI YANGU MASA ALISEMA UNA TATIZO LA TAMAA YA GHAFLA SASA NAAMINI

PASCO, YOU ARE LOSING YOURSELF KILA SEKUNDE INAPOPITA NA HASA KWA WALE WENYE PESA, SITAKI KUSEMA U-MALAYA WA HABARI LAKINI NAJISIKIA VIBAYA JINSI UNAVYOJIANIKA HOVYO
 
MTM umemaliza! Huyu mama umewekwa ushahidi wote humu alafu anamsafisha!
 
watanzania ndivyo tulivyo mianya ikizibwa tunaanza majungu. Tunajua nyoni katolewa ili watu wapate mianya ya kula tusubiri tuone hao wasafi.
Maana nyoni anaonekana ni mchafu zaidi kuliko EL
 
Back
Top Bottom