sunda internation group

Hapo kama wangekua wanahitaji secretary wangekufanyia interview ya secretary na ungekaa ofisini, sasa we Umefanyiwa ya sales na umekubali kutembeza bidhaa nawe umekosea.
 
Hapo kama wangekua wanahitaji secretary wangekufanyia interview ya secretary na ungekaa ofisini, sasa we Umefanyiwa ya sales na umekubali kutembeza bidhaa nawe umekosea.
acha tu nimejifunza siwezi tena kurudia makosa
 
Habari, Naomba msaada wenu kwa wanao elewa kampuni ya sunda international group iliyopo kigogo inajishughulisha na nini na vipi pale unapoajiliwa unafanya kazi zipi nimeomba kazi ila interview ya kwanza ilikuwa trainee ya kwenda kuuza bidhaa je inakuwa ndio kazi yenyewe au huwa wanabadilishiwa na kupewa kazi za ofisini na kuacha hiyo ya kutembeza. Mawazo yenu ni muhimu na sio masimango, matusi na dharau. Asanteni

Huna kazi umepewa kazi unataka ya ofisin mbona watanzania wavivu sana sisi umepata kazi piga mzigo kesho utawaajiri watu wakae ofisin kama unaona n vizuri watu kukaa ofisin
 
Back
Top Bottom