Wengi wanamkubali na wamempigia kuraSijui kama atadumu muda mrefu! Hoja ya Ukaburu imeshaibuliwa na hata baadhi ya wanachama wa chama chake wamerudisha kadi za chama hicho kwa hoja hiyo.
UK sio bongo kuwa rais ni munguKabisa. Amewekewa tego.
Urusi itamwangusha tu maana sidhani kama ataikabili.
Nimshauri tu aegemee Urusi atatoboa
kwa ukichaa wako unakuambia Ukraine haikuvamiwa feb 2022 na sasa hv Mvamiz karudishwa had alipodai ndo ilikuwa targetAnawavusha au anawateketeza?
anawateketeza sabab aliwavamia feb 2022Anawavusha au anawateketeza?
[emoji23][emoji23][emoji23] wavaa kobaz hawaez mchagua ki mahWenzetu demokrasia imefikia patamu kuelekea uchungu.
Hii mbegu waliyopanga leo muda si mrefu ufalme utaanguka, na UK itakuwa jamhuri.
Wenyeji wazungu wajiandae kisaikolojia
Next year nahamia Iran nikagombee uraisi na ukorintho wangu!
UK wajanja wanawavuta wahindi watoke huko kwa Urusi bado karata ya China , usishangae kuona USA rais ajae ni mchina , wakimaliza hapo Urusi ajiandae kula kisago bila msaadaLeo India hawalali stesheni zote za redio na televisheni zinasimulia Sunak, bado chawa wa kule walikopitia wazazi wake Africa Mashariki [emoji1787]
Kabisa. Amewekewa tego.
Urusi itamwangusha tu maana sidhani kama ataikabili.
Nimshauri tu aegemee Urusi atatoboa
Hapa umewaza Kwa kiungo gani?UK wajanja wanawavuta wahindi watoke huko kwa Urusi bado karata ya China , usishangae kuona USA rais ajae ni mchina , wakimaliza hapo Urusi ajiandae kula kisago bila msaada
kwa vile huna kiungo cha kuwaza ukanijib kwa hoja bas unataka ujue kiungo chang nlichowazia nawe upate akili ya kuunda hoja unijibu , NMEWAZA KWA KUTUMIA KOBAZ (utajua mwenyew hiko kiungo kipo wap )Hapa umewaza Kwa kiungo gani?
Wenzio huko India wanashangilia ushindi wa Sunak "ww unataka kujua kiungo cha kufikiria " update ubongo huo , RAM 0Hapa umewaza Kwa kiungo gani?
Hindu MandalSio mkisto ni dini gani huyu jamaa?