Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

Dawa manati tu ukiwapiga siku moja wanahama wote hua wanaiogopa sana
 
Ukitaka kuharibu kiota chao fanya hilo giza liingiapo wanakukimbia, ukifanya mchana wanaweza kukuhamisha mtaa.
Mara kadhaa serikali ilikuwa ikipewa msaada wa kuwaangamiza lakini badala yake wanaziangamiza pesa za msaada! Nakushauri nunua manati uyatundike kwenye kamba ya kuanikia nguo, watahama.
 
Wewe ni wa bara hauwajui kunguru wa Dar, kunguru hao pichani walimalizwa na hawa kunguru weusi miska ya sitini na pia wamewamaliza ndege wote huku wizara ya mazingira haioni kuwa ni uharibifu na hasara kiwapoteza ndege aina tofauti.
 
Aisee wana kisasi kibaya sana hao viumbe, tumia net ya kunasia ndege kisha tumia nyama yenye sumu
 
Kunguru kudhurika na sumu ni ngumu.
Kunguru Kama wamasai akifa mmoja wote wanahama Hilo eneo hawakai.
 
Basi hawa waamiaji tusiwaite Kunguru wa Dar; wateketezwe haraka tupandikize kunguru wetu wa zamani (African Crow)..., Au kama vipi wataalamu waangalie kama hawana magonjwa watu waanze kuwala supu (wanahitaji predators wa kuwamaliza)
 
Kunguru kudhurika na sumu ni ngumu.
Kunguru Kama wamasai akifa mmoja wote wanahama Hilo eneo hawakai.
Apparently hawa Kunguru anaowaongelea ni tofauti sio kama hawa wa kwetu wenye baka jeupe
 
Kwa hiyo ukaona uanzishe na Uzi kabisa[emoji1787][emoji1787]
 
Basi hawa waamiaji tusiwaite Kunguru wa Dar; wateketezwe haraka tupandikize kunguru wetu wa zamani (African Crow)..., Au kama vipi wataalamu waangalie kama hawana magonjwa watu waanze kuwala supu (wanahitaji predators wa kuwamaliza)
Mbona ni watamu tu ila usiweke viungo vingibkwani vitaiharibu ladha halisi.
 
Nimeita kijana leo kapanda juu ya mnazi amewashusha watoto wanne. Nimewakung'uta na bomba huku wazazi wao wanatazama.

Nimewatupa hapo barabarani. Ukoo mzima umenijia juu nimeshindwa hata kutoka nje kuosha gari wala kuanika nguo mbwa hawa. Yaani wanajihadi kama taleban.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee wana kisasi kibaya sana hao viumbe, tumia net ya kunasia ndege kisha tumia nyama yenye sumu
Sumu gani inafanya kazi. Nimenunua sumu ya panya ya poda nyeusi kama unga wa risasi au penseli. Ila wamekula samaki mwenye sumu wamejilamba midogo kama nimewawekea tu kachumbari.
 
Kunguru kudhurika na sumu ni ngumu.
Kunguru Kama wamasai akifa mmoja wote wanahama Hilo eneo hawakai.
Nimeuwa vitoto vyao vinne leo nikavitupa huku wakishuhudia. Vita wameniletea aiseee yaani ni bifu kali la maana. Walijaaa hadi nikasema hawa ndege sijui nikawachukulie RB polisi maana naona hatuelewani kabisa na hizi fujo wananifanyia zimevuka mipaka ya heshima ya raia.

I hope walivyoona watoto wao nimewaua wanaweza kuondoka na kutorudi tena. Maana nimewachapa na bomba walikuwa kwenye kiota kwenye mnazi hapo jirani ya ukuta wa nyumba ya jirani. Nikamwambia kijana aje kuwashusha amewashusha chini nikawaburuta hadi sehemu ya wazi.

Wazazi wakaja wakawa wanaleta zengwe nikachukua mwamvuli na bomba la maji yale meusi malaini nikaanza watandika wale watoto hadi wakadedi na kutoka damu. Nikawatupa barabarani hapo. Yaani dakika si nyingi walikusanyika hapo nje walileta vagi ambalo sijawahi ona.
 
Basi hawa waamiaji tusiwaite Kunguru wa Dar; wateketezwe haraka tupandikize kunguru wetu wa zamani (African Crow)..., Au kama vipi wataalamu waangalie kama hawana magonjwa watu waanze kuwala supu (wanahitaji predators wa kuwamaliza)
Hawa predator wao ni mwewe na bundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…