min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,404 Reaction score 130,986 Apr 5, 2025 #21 To yeye said: Ila unadhani kwanini tunaumia na mahusiano?! Click to expand... Mna amini fantastic nakutuma pesa kwa hawa nyumbu wanaojiita handsome ,ambao nao wanajiuza mamamaeee
To yeye said: Ila unadhani kwanini tunaumia na mahusiano?! Click to expand... Mna amini fantastic nakutuma pesa kwa hawa nyumbu wanaojiita handsome ,ambao nao wanajiuza mamamaeee
Ben Zen Tarot JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,392 Reaction score 7,863 Apr 5, 2025 Thread starter #22 To yeye said: Yeah,.mama angekuwa mwanga...ingeisha hiyo...ndoa ni Jehanamu sometimes Click to expand... hata ivyo mama zetu wana akili sana hata kama hakwenda shule
To yeye said: Yeah,.mama angekuwa mwanga...ingeisha hiyo...ndoa ni Jehanamu sometimes Click to expand... hata ivyo mama zetu wana akili sana hata kama hakwenda shule
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Apr 5, 2025 #23 Harmful said: Kisa kizuri ila nimewaza kama mama asingekuwa na busara mwanaume angepotezwa kwenye nyuso ya dunia Daah...ila ndoa Click to expand... Hapo ni mtunzi wa el-hadith ndiye mwamba aliyetulia na kutumia mbongo kuwafundisha waja.Mola aturehemu sana.Aiiiimiiin!
Harmful said: Kisa kizuri ila nimewaza kama mama asingekuwa na busara mwanaume angepotezwa kwenye nyuso ya dunia Daah...ila ndoa Click to expand... Hapo ni mtunzi wa el-hadith ndiye mwamba aliyetulia na kutumia mbongo kuwafundisha waja.Mola aturehemu sana.Aiiiimiiin!
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Apr 5, 2025 #24 min -me said: Mna amini fantastic nakutuma pesa kwa hawa nyumbu wanaojiita handsome ,ambao nao wanajiuza mamamaeee Click to expand... Wanaotuma wanazo...Mimi nitoe wapi jamani
min -me said: Mna amini fantastic nakutuma pesa kwa hawa nyumbu wanaojiita handsome ,ambao nao wanajiuza mamamaeee Click to expand... Wanaotuma wanazo...Mimi nitoe wapi jamani
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Apr 5, 2025 #25 To yeye said: Usimseme,labda hana hela...ila ajiandae kuvunjika moyo sikuzote Click to expand... Kuvunjika moyo kila siku tena?Kwani mwisho wa limoyo kuvunjika ni mara ngapi ili uitwe limoyo mvunjiko/"buroken hati"!
To yeye said: Usimseme,labda hana hela...ila ajiandae kuvunjika moyo sikuzote Click to expand... Kuvunjika moyo kila siku tena?Kwani mwisho wa limoyo kuvunjika ni mara ngapi ili uitwe limoyo mvunjiko/"buroken hati"!
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Apr 5, 2025 #26 Moisemusajiografii said: Kuvunjika moyo kila siku tena?Kwani mwisho wa limoyo kuvunjika ni mara ngapi ili uitwe limoyo mvunjiko/"buroken hati"! Click to expand... Hakika 🙏
Moisemusajiografii said: Kuvunjika moyo kila siku tena?Kwani mwisho wa limoyo kuvunjika ni mara ngapi ili uitwe limoyo mvunjiko/"buroken hati"! Click to expand... Hakika 🙏
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,332 Apr 5, 2025 #27 To yeye said: Ukipenda unavumilia...upendo una nguvu... kilasiku unasema labda atanipa kesho🙌 Click to expand... Na wewe una angalia na WA kupenda sasa Wewe fikiria umempenda kijana kama min -me mda wote mdomo una Nuka viroba tu, Kuna ndoa kweli hapo?
To yeye said: Ukipenda unavumilia...upendo una nguvu... kilasiku unasema labda atanipa kesho🙌 Click to expand... Na wewe una angalia na WA kupenda sasa Wewe fikiria umempenda kijana kama min -me mda wote mdomo una Nuka viroba tu, Kuna ndoa kweli hapo?
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,332 Apr 5, 2025 #28 min -me said: Ikiianzishwa kampeni ya vijana wapenda dezo kama Beira Boy kuuwawa taifa lingefika mbali, ebu assume huyu kijana ana winda pesa za watumishi wa uma kila mwezi😄 Click to expand... Mimi mwenyewe mtumish wa uma mtumish
min -me said: Ikiianzishwa kampeni ya vijana wapenda dezo kama Beira Boy kuuwawa taifa lingefika mbali, ebu assume huyu kijana ana winda pesa za watumishi wa uma kila mwezi😄 Click to expand... Mimi mwenyewe mtumish wa uma mtumish
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Apr 5, 2025 #29 Beira Boy said: Na wewe una angalia na WA kupenda sasa Wewe fikiria umempenda kijana kama min -me mda wote mdomo una Nuka viroba tu, Kuna ndoa kweli hapo? Click to expand... 🤣🤣🤣Si mtu mbaya huyu jamaa,na kunywa ni maramoja moja sana
Beira Boy said: Na wewe una angalia na WA kupenda sasa Wewe fikiria umempenda kijana kama min -me mda wote mdomo una Nuka viroba tu, Kuna ndoa kweli hapo? Click to expand... 🤣🤣🤣Si mtu mbaya huyu jamaa,na kunywa ni maramoja moja sana
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Apr 5, 2025 #30 Mke ana titi huyoooo😍😍😍😍
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,332 Apr 5, 2025 #31 min -me said: Vijana kama wewe ni mzigo kwa taifa. Click to expand... Mimi hili taifa linautambua mchango wangu Ni mdau mkubwa wa kulipa kodi
min -me said: Vijana kama wewe ni mzigo kwa taifa. Click to expand... Mimi hili taifa linautambua mchango wangu Ni mdau mkubwa wa kulipa kodi
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,332 Apr 5, 2025 #32 To yeye said: 🤣🤣🤣Si mtu mbaya huyu jamaa,na kunywa ni maramoja moja sana Click to expand... Aaaa waap alafu anakunywa pombe zile za kupima akipata elf moja ana lewa nzwiiiii
To yeye said: 🤣🤣🤣Si mtu mbaya huyu jamaa,na kunywa ni maramoja moja sana Click to expand... Aaaa waap alafu anakunywa pombe zile za kupima akipata elf moja ana lewa nzwiiiii
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,404 Reaction score 130,986 Apr 5, 2025 #33 Beira Boy said: Mimi hili taifa linautambua mchango wangu Ni mdau mkubwa wa kulipa kodi Click to expand... Unalipa kodi shi ngapi mkuu
Beira Boy said: Mimi hili taifa linautambua mchango wangu Ni mdau mkubwa wa kulipa kodi Click to expand... Unalipa kodi shi ngapi mkuu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,404 Reaction score 130,986 Apr 5, 2025 #34 Beira Boy said: Mimi mwenyewe mtumish wa uma mtumish Click to expand... Wewe unatakiwa ufe taifa lisonge ,hakuna nchi inasonga kwa maombi .
Beira Boy said: Mimi mwenyewe mtumish wa uma mtumish Click to expand... Wewe unatakiwa ufe taifa lisonge ,hakuna nchi inasonga kwa maombi .
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,404 Reaction score 130,986 Apr 5, 2025 #35 Beira Boy said: Na wewe una angalia na WA kupenda sasa Wewe fikiria umempenda kijana kama min -me mda wote mdomo una Nuka viroba tu, Kuna ndoa kweli hapo? Click to expand... Kaka pombe zangu ni kamtaji kako ,😁😁 weka namba uokote master ,usione aibu😄😄
Beira Boy said: Na wewe una angalia na WA kupenda sasa Wewe fikiria umempenda kijana kama min -me mda wote mdomo una Nuka viroba tu, Kuna ndoa kweli hapo? Click to expand... Kaka pombe zangu ni kamtaji kako ,😁😁 weka namba uokote master ,usione aibu😄😄
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,332 Apr 5, 2025 #36 min -me said: Unalipa kodi shi ngapi mkuu Click to expand... Nyingi nyingi kaka
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,332 Apr 5, 2025 #37 min -me said: Wewe unatakiwa ufe taifa lisonge ,hakuna nchi inasonga kwa maombi . Click to expand... Sisi wana maombi ndo tunafanya nyie muendelee kuishi
min -me said: Wewe unatakiwa ufe taifa lisonge ,hakuna nchi inasonga kwa maombi . Click to expand... Sisi wana maombi ndo tunafanya nyie muendelee kuishi
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,404 Reaction score 130,986 Apr 5, 2025 #38 Beira Boy said: Nyingi nyingi kaka Click to expand... Kaka kuna watu wanapiga pesa humu na hawana kelele 😁 wewe weka namba uokote😁
Beira Boy said: Nyingi nyingi kaka Click to expand... Kaka kuna watu wanapiga pesa humu na hawana kelele 😁 wewe weka namba uokote😁
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,404 Reaction score 130,986 Apr 5, 2025 #39 Beira Boy said: Sisi wana maombi ndo tunafanya nyie muendelee kuishi Click to expand... Sikatai mkuu endelea kuniombea nipige pesa zaidi
Beira Boy said: Sisi wana maombi ndo tunafanya nyie muendelee kuishi Click to expand... Sikatai mkuu endelea kuniombea nipige pesa zaidi
Mussa Nzugilwa JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 2,391 Reaction score 4,960 Apr 5, 2025 #40 Kauzi kafupi, kenye funzo kubwa. Umetisha mkali🫡