Sumsung zile za projector miaka hii bado zipo?

Sumsung zile za projector miaka hii bado zipo?

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,332
Reaction score
11,792
Miaka fulani hivi huko nyuma kulikuwa na toleo fulani hivi zilikuwa zinakuja na inbuild projector baadae sikuziona tena sikoni. Vipi ziliacha kutengenezwa?
 
Ndio, Mpya niliwahi kuona ni ya ZTE, kama tablet, router Na projector.

IMG_0001.png


Inaitwa spro 2
 
simu za kila jambo hila kutokana na kampuni za tecno,itel,bontel sijui uchafu gani watu mkasahau kuwa kulikuwa na vitu vzuri.kama na fanya biasha ni ngumu kuleta kitu ambacho watu wamekalili mauchafu ambayo hata kutengeneza hivo mpaka wasubiri kampuni kubwa kufanya kikipata soko waje kutengeneza
 
Aliexpress sema bei ndefu laki 9, ina make sense kama Una mahitaji yote ya Tablet, router Na projector.

Otherwise tafuta projector ndogo yenye Android kama Anker Nebula.
Daah shukrani sana mkuu ngoja nitafute nione nafanyaje
 
Back
Top Bottom