Habari wana jamvi.
Simu tajwa hapo juu, takribani wiki nzima inasumbua intaneti. Tatizo lilianza baada ya kubadili laini. Nimejarbu kucheki kwenye application, proxy; Not set, Port; Not set. Je! Tatizo ni nini? Na jinsi gani kutatua?
Msaada tafadhali.