Habari wadau wa jf, nina simu ya samsung galaxy note 3 inaandika unauthorised actions have been detected restart your device to undo any unauthorised changes. Na hiyo message ikitokea mtandao wa net unakata niki restart baada ya sekunde 10 kinarudi tena nifanyeje ili nikitoe? Mojakwamoja.