grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,662
True ila KUNA KITU KINAITWA "STIGMA" ni sawa na mtu leo amuone Mo dewj, bakhresa au hata mondi akigombania daladala , ni kitu cha kawaida lakini kwa sisi raia wengine tutaona maajabu.Knowledge ya Tech inamsaidia kujua ni simu ipi nzuri kununua katika reasonable prices kulingana na matumizi yake.
Kama matumizi yako ni ya kawaida na midrange inakutosha kwa nini upoteze hela nyingi kununua flagship?
Kaka hata 3G wakati tunahamia 4G ilikuwa vizuri. Ila saa hizi iko slow balaa. Hata 4G inaweza guswa tukihamia 5GNilichogundua ni kwamba watu wachache sana ndio wanajali sana hiyo 5G. Mfano mimi huwa sijali kuhusu 5G, cha msingi simu iwe nzuri basi. 4G ya Voda huku ninapokaa ipo faster sana
Mpaka mtu kaja kuanzisha thread ya hiyo simu, jua ni kweli kuna kitu kimemvutia zaidi. Labda tu umshauri anunue simu ipi kulingana na matumizi yake
Duh.... Sasa ndio hadi kwenye Tech. Kwa hiyo mtu anayejua tech kiundani sana anapaswa kutumia expensive devices[emoji848]True ila KUNA KITU KINAITWA "STIGMA" ni sawa na mtu leo amuone Mo dewj, bakhresa au hata mondi akigombania daladala , ni kitu cha kawaida lakini kwa sisi raia wengine tutaona maajabu.
Muda utafika tu ambapo 5G ndio itakuwa standard na 4G itakuwa chini ya standard.Kaka hata 3G wakati tunahamia 4G ilikuwa vizuri. Ila saa hizi iko slow balaa. Hata 4G inaweza guswa tukihamia 5G
Nilimnunulia mtu, pia kwanini nisitumie Midrange? Siku hizi kuna Midrange zina Nguvu sana.Mkuu hivi na wewe watumia midrange
UtatoaMninunulie pia jaman....sijawahi tumia simu ya laki9 ....huku mbeya uyole ukiongeza hapo m1.1...kiwanja tayari unacho
Nini🤔🤭🙌Utatoa
Toa mali upate maliNini🤔🤭🙌
Toa tu mkuu siyo Lazima ulipwe jamaniToa mali upate mali
Mambo ya tenda wema uwende zako moyo huo sina teacherToa tu mkuu siyo Lazima ulipwe jamani
Daah! Sawa mkuuMambo ya tenda wema uwende zako moyo huo sina teacher
Utapeana??Mninunulie pia jaman....sijawahi tumia simu ya laki9 ....huku mbeya uyole ukiongeza hapo m1.1...kiwanja tayari unacho
🤣🤣🙌Aisee,wanaume bhana.Si mnanipa tu jamani...mmepoteza vingapi 🙄Utapeana??
Kidding
KeywordDuh.... Sasa ndio hadi kwenye Tech. Kwa hiyo mtu anayejua tech kiundani sana anapaswa kutumia expensive devices[emoji848]
Unafanya masihara na Milioni moja wewe..peana bana upewe.[emoji1787][emoji1787][emoji119]Aisee,wanaume bhana.Si mnanipa tu jamani...mmepoteza vingapi [emoji849]
☹️😞Unafanya masihara na Milioni moja wewe..peana bana upewe.
TununuMninunulie pia jaman....sijawahi tumia simu ya laki9 ....huku mbeya uyole ukiongeza hapo m1.1...kiwanja tayari unacho
EnnaTununu