Sumry yapata ajali

Poleni wote mlipatwa na janga hilo.Jamani jueni hata hiyo kozi ya PSV kwa madereva ni usanii mtupu.So hakuna lolote wanalopata hao madereva.MUNGU tunusuru.
 
Poleni wahanga, mtoa taarifa tupe taarifa zaidi kama kuna watu wamepoteza maisha au majeruhi wangapi.
 
Tatizo ni hiyo leseni, je masharti yanazingatiwa na kama yapo? hilo gali linatoka arusha kwenda Mbeya, lazima lifanyiwe service ya uhakika na hasa suala la maili, sijui kama kuna sheria zinzowabana wamiliki katika hayooo
 
Halafu unakuja unasikia eti Dar Express zinafungiwa kisa eti kwa kugonga Mbuzi, hili linaachwa tu!!
 
source ni mim mwenyewe niko kwenye basi naelekea dar, gari limebinuka matairi yako juu, na watu bado wako kwenye gari hawajatolewa.

sasa mbona hamkusimama? sikiliza wimbo wa huruma kwa wagonjwa.......na DDC Mlimani utawasidi siku nyingine
 
Jamani hizi ajali mbona zinazidi? Tena kipindi hiki cha kukaribia chris mass inabidi madereva wawe makni sana. Poleni mlioko kwenye ajali.

Ni kumwomba Mungu tu! Kumbka ni mwisho wa mwaka, kafara znatolewa, ni lazma 2pambane na roho hz za mauti ktk ulimwengu wa roho! Ukpata nafas amka usiku wa manane anza kumwaga damu ya YESU kila kona ya barabara! Piga misukule na malaika wote wa giza, vunja mikataba na maagano ya umwagaji yale wafanyayo wamiliki wa makampun ya vymbo vya usafiri! Mi h ndo kaz nafanya! Wakat mwngne hzo 2nazoona syo ajal za kawaida! Shetan hupga kiini macho wa2, kumbe wakt mwngne wengne huchukuliwa wakiwa wazma na hawaumii kabsa! Udhibitisho ni ajal ya mto Nduruma kwa wale wakaz wa Arusha wanaupata mto huo, kua ulkuwa umezd kumeza roho za wa2 hasa kpnd hk cha skukuu za mwisho wa mwaka, lakn 2lipoligundua hlo 2kachukua ha2a ndo siri zmefichka tena kutoka kuzmu kwamb kulikua na wa2 wana7bisha ajal hzo. So pigen vile vita vya kiroho coz shetan yupo kazn kuiba roho za wa2 kwa fujo! Polen sana majeruhi wa ajal hyo, 2po pamoja.
 
vipi dar express imeshafunguliwa?wafungie haya ya waarabu watuachie ya ndugu zetu
 
poleni sana wahanga wa tukio hilo, na mimi ndo kwanza nilikuwa nawaza hapa kumchukulia mdogo wangu tiketi katika bus hilo duuuuh..!! aiseeee sasa itabidi nimchukulie tiketi katika bus la champion kutokea hapa mwanza kuelekea dar...!

Mchukulie tu hyo tiket,kwan ajil wameomba?By the way Poleni majeruhi wote!
 
poleni sana wahanga wa tukio hilo, na mimi ndo kwanza nilikuwa nawaza hapa kumchukulia mdogo wangu tiketi katika bus hilo duuuuh..!! aiseeee sasa itabidi nimchukulie tiketi katika bus la champion kutokea hapa mwanza kuelekea dar...!

Champion! Chonde, chonde chonde!
 
hiyo kampuni ya sumry sio ya kupanda kabisa. Kwa huu mwaka imepata ajali zisizopungua 5 (mpanda, igurusi, igawa, iringa, mikuni na huko wami etc..)
 
Back
Top Bottom