Sumry huu sasa uhuni.

hilo la kijani panda linalo enda mbeya tu usije ukapanda la kahama singida sijui utaomba upande sumry tena

Dah basi siku nikipata trip ya huko nitakua makini
 
kwa route ya sba mby sumry ndio alileta ukombozi wa kweli maana mpaka leo hakuna kampuni mbadala ambayd anagari uhakika
 
tatizo route hii ni dume anahitaji kupongezwa .lami ikija yatakuja mabac mengi sawa lakini pia nae ataboresha zaidi
 
hivi kwanini bado mnapanda hayo mangalangala!!?mara mia happy nation sio zile takataka,na staff wao wasiojua customer care hata ya msingi!last month mi nimepanda gari ya saa moja kasorobo mbeya - dar...kwanaza tukaondoka almost saa tano...tumefika hadi uyole tukarudi town eti GARI HALINA MAFUTA!!kutoka hapo ni hatari tupu,mara dereva anasinzia coz hajapumzika,jana alifika mbeya saa nane usiku!gari imeharibika eti haiwez rudi reverse..kufika dar saa sita kasoro usiku...@#%^*mbav zao!!msipande tena hayo madungu...mi niilchelewa na kukosa hela hivihivi kwa upuuzi wao huo!!
 
kama ulikuwa na risiti ya kusafirisha mzigo huo ungewashitaki sasa tatizo hongoo inapindisha haki atahonga na kutupwa hilo swala pembeni.tabia mbovu sana ya kupoteza mizigo ya watu na kujibu kirahisi tu umepotea eboooo

Ukisoma risiti zao wameandika kabisa kama kwa upotevu wa mzigo utalipwa na bima uliyokatia mzigo wako. Kiukweli kuna sarakasi nyingi katika usafirishaji wa mizigo kwa mabasi. Ukifika wewe shukuru tu, na ndio maana tunaomba TRL ifufuke kikweli kweli ili kumaliza haya matatizo.
 
juzi kaka yangu pasipo kujua sumry mbeya dar ya saa kumi na mbili na dak 45 asbh kufika stand hakuna gari kaganda hadi tatu kuwauliza eti gari ilipata ajali hivyo halipo waendelee kusubiri hadi mchana yani ni maudhi mtindo mmoja.
 
Yapo mengi sana, uzuri wa Sumry abiria wakienea kwenye viti hasimamishi abiria, mabasi mengine yote abiria hujazana hadi unasimama kwa mguu mmoja kwa kukosekana sehemu ya kukanyaga.
Yaap,kuna ndenjela,mbeya express,mubarikiwe na MP.
 
juzi kaka yangu pasipo kujua sumry mbeya dar ya saa kumi na mbili na dak 45 asbh kufika stand hakuna gari kaganda hadi tatu kuwauliza eti gari ilipata ajali hivyo halipo waendelee kusubiri hadi mchana yani ni maudhi mtindo mmoja.
Yaani pale Iringa route ya iringa-dar wamepigwa faini za laki mbili na nusu na SUMATRA ndani ya wiki mbili zaidi ya mara 6.
 
Yaap,kuna ndenjela,mbeya express,mubarikiwe na MP.

mkuu mbeya express ni ya sumri, na hata hilo basi limeshalalamikiwa kuanza kufanya madudu kama ya sumry mara limeharibika. kwa mimi silipandi kabisa customer care ni sifuri kabisa.
ndenjela, green star afadhali unasisikia kweli wewe ni mteja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…