Summary ya leo: Nimewaua na hamna cha kunifanya!

Summary ya leo: Nimewaua na hamna cha kunifanya!

images.jpeg

#TBT.
 
Kama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!
Sheikh majini alitaka kupindua serikali akiwa wapi mkuu?
 
Kama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!
Mwanamke kumpa madaraka makubwa ni hatari sanaa...

Hutumia hisia na mihemko kwenye maamuzi ndo speed leo,
 
Mwanamke kumpa madaraka makubwa ni hatari sanaa...

Hutumia hisia na mihemko kwenye maamuzi ndo speed leo,
Tena mbona kawalea sana wamemtukana sana muda mrefu then wanataka kupindua Serikali yake. Unataka awachekee tu au?
 
Kama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!
Mwizi wa kura kama ni mwizi mikwara muhimu kuficha uovu.
Hivi kuiba na kufoji uchaguzi sio kupindua serikali ya wananchi iliotarajiwa. Kosa hili si uhaini ?
Hili hamlioni?
 
Huo ndio ufipisho wa hotuba ya leo, amesema yuko tayari kufanya tena alichofanya tarehe 29 kama mtarudia tena. Total darkness.
Tulitarajia kusikia hilo kutoka kwa machoko wa choko kitima......hivyo hakuna ulichoongea mpaka Sasa.
 
Kuna mtu amekuambia alitaka kupindua serikali au?
Si unaungana na mtoa hotuba ya kwamba wale walioandamana walistahili kifo kwa sababu walitaka kupindua serikali
Ndio ninauliza sasa sheikh majini na yeye alistahili kifo?maana kapigwa risasi kwake
 
Kama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!
we uchi wa mama yako jifunze uturuki ilipotokea ushungi
 
Tumteke yeye au abduli wake au huyo wa kike kisha tuwapoteze atakaa sawa.
 
Mhh mbona kama rais anafanya majibizano na raia ilihali inafahamika fika chanzo cha hii mikwaruzano ni kipi? mbona kama akihutubia kwa style hii mara 10 tu jazba na vinyongo vitakuwa maradufu?
Mbona kama kuna wahisani anarushiana nao kejeli za gizani sisi na wao nani mwenye nguvu??
Mbona kama hakuna rais ana hasira, furaha ya ushindi wa 97% imempalia?
Mbona kama hii miaka 5 ijayo tutakuwa na wimbo mpya, sio ule wa maendeleo na kusonga mbele maana maadui wapo ndani na nje, tunawaza kujilinda kuliko kusonga mbele?
Mbona kama rais hayupo sawa kiakili, na PM wake tuseme amsaidie ndiyo hamna kitu hata kujenga hoja tu hawezi?
Ngachoka
 
Najua huyo bibi ni incompetent ila ame-subvert my expectation. Sikuwahi kudhani kama kiuongozi anaweza kuwa witless na tactless kiasi hicho.

Mwanamke hafai kuwa kiongozi, hasa kama ni mzee asiye na elimu ya kutosha wala exposure. Hawezi kuona uhalisia kama ulivyo wala uzito wa jambo as long as hisia zipo kazini. Bila shaka huko ndani wanamvuta kamba asimwage mchele hadharani ila kama itegemewavyo hasira zikashika usukani. Kawaida ya wanawake huwa hawawezi vumilia siri ambayo anajua ikitoka itamfamya aonekane mbabe na kupewa heshima.

Kwa hali hiyo bila shaka mapapa wenzake wanapanga kumgeuza kitoeo, hiyo ndio njia pekee ya kujiondoa kwenye hii predicament, na kwa jinsi alivyo unbelievably incompetent kichwani sidhani kama anaona hilo.

Wafanye hima sababu yupo karibuni kulivuta taifa shimoni. There will be the most unaccidental accident of year or an incredibly high blood pressure.

Either way, blood will be paid with even more blood.
 
Kama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!

Tena mbona kawalea sana wamemtukana sana muda mrefu then wanataka kupindua Serikali yake. Unataka awachekee tu au?
serikali kaitoa wapi?unafikiri kupata serikali ni kama kwenda kuweka kope saluni
 
Back
Top Bottom