Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,076
- 4,647
Huo ndio ufipisho wa hotuba ya leo, amesema yuko tayari kufanya tena alichofanya tarehe 29 kama mtarudia tena. Total darkness.
Huko mbele ni giza kuliko tuliko tokaNmewaua hamna cha kunifanya na mkirudi ntawauwa tena
Ashaivuruga, inaenda kufutika kwenye ramani ya duniaTusipochukua maamuzi magumu, huyu shetani ataivuruga hii nchi kabisa
Hapana sio kweli watu wameamua wamwachie MunguHuko mbele ni giza kuliko tuliko toka
Trh 29 ilikuwa siku mbaya sana, kwa maneno ya leo amejiandaa kufanya zaidi ya hayoDaah kweli ukianza kula nyama ya mtu lazima utake tena
leo imekuwa siku ngumu sana kwa waliopoteza wapendwa wao,dah, nimechoka
Kama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!Huo ndio ufipisho wa hotuba ya leo, amesema yuko tayari kufanya tena alichofanya tarehe 29 kama mtarudia tena. Total darkness.
Wale waliofuatwa majumbani kwao walikuwa wanapindua niniKama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!
Tuwekee kipande cha clip kikusanywe kama ushahidi ICVHuo ndio ufipisho wa hotuba ya leo, amesema yuko tayari kufanya tena alichofanya tarehe 29 kama mtarudia tena. Total darkness.
Ni kweli mpole sana ndio maana akawaua kina masta tindwa na shehe MajiniKama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!
Halafu TPDF bado wanatoa tu macho!Huo ndio ufipisho wa hotuba ya leo, amesema yuko tayari kufanya tena alichofanya tarehe 29 kama mtarudia tena. Total darkness.
@$$holeKama walitaka kupindua serikali ulitegemea aseme nini mkuu? Tena mbona Rais Samia ni mpole sana kama angekuwa Nyerere, Mkapa au Magufuli mbona pangechimbika!! Saa hizi wangekuwa wanatafutana. Mnamwonea mama wa watu mpolee!!