Sumbawanga wachakachua matokeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumbawanga wachakachua matokeo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by samoz, Nov 2, 2010.

 1. s

  samoz Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi ,hii matokeo wanatangaza saa 7 usiku wakati kwenye vituo Peoples pawa wanaongoza!!! Aibu hiyo .ila ipo siku watanzania watataka haki zao wasichakachuliwe kura zao!
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!kwa nini wapiganaji walilala wakati mapambano bado yalikuwa yanaendelea?Si tulishakubaliana hakuna kulala mbaka kieleke!!!
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  kwani imekuaje huko mkuu tupe mkanda with data plz!
   
 4. s

  samoz Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio hivyo .....sehemu ambazo watu sio imara ,lazima upigwe bao !!CCM imejifanya kama ni Chama kilichojihanikiza na serikali na mbinu zake !ina kila kitu jeshi ,inteligensia,polisi wote wanaipa support ma kuisadia ! Huo ni ujinga wanaaibisha taaluma zao! Shiiit
   
Loading...