funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,394
- 31,906
Chadema ni kikundi cha usaniiMwenyekiti wa baraza la wazee chadema ! Du ! Amejaa jazba na hasira hatari ! Anatamani muungano ufe hata leo hii...sijui hata walimpaje uenyekiti huo la! Anamlaumu mh. Rais kumuachilia Babu Seya wakati mgombea wake wa nafasi ile 2015 aliahidi kufanya hivyo pia ! Sijui huwa hawana kumbukumbu watu hawa jamani ?