Ni lini wananchi walipewq uhuru huo? Au wewe ndio Ziro.Ndiyo maana anaitwa mr ziro.
Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.
Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Wewe ni wa kuonewa huruma. Kwa vyovyote una tatizo la afya ya akili. Pole sana, I hope kutakuwa na watu wa kukusaidia katika ugonjwa wako.Ndiyo maana anaitwa mr ziro.
Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.
Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
yeye katoa ushauri tu ila wananchi wafanye maamuzi kama wanakubaliana na hali hiyo ni sawa lkn hajawalazimisha.Ndiyo maana anaitwa mr ziro.
Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.
Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Huyu amekwisha katwa mkiaKaribu tena upinzani CCM wameshindwa kujibeba.
Wananchi hawachagui chama, wanachagua wagpombea wanaofaa bila kujali wanatoka chama gani cha siasa. Huu utapeli ulitokana na uhuni wa awamu ya Ile ya kupitishwa wahuni bila kupingwa pamoja na kuunga juhudi feki.Ndiyo maana anaitwa mr ziro.
Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.
Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Ila hatutasahau jinsi ulivyorudi CCM kutoka CDM!Safi sana mzee Sumaye, mtu pekee uliyehudumu kama waziri mkuu nchi hii kwa miaka 10. Maoni yako yatazingatiwa 2025.
kwamba wewe na mamako nyumbani kwenu mlifanya uchaguz mkisaidiana na dictator uchwara na tume fake.Ndiyo maana anaitwa mr ziro.
Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.
Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Hapa ndipo Magufuli alikosea kushiriki Hadi watu wa ajabu kuingiaa Bungeni kwa mbelekoBaada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema Bunge linapaswa kuwa kali katika kuisimamia na kuishauri Serikali.
Sumaye aliyekuwa Waziri Mkuu kwa muongo mmoja kuanzia mwaka 1995 hadi 2005 katika utawala wa Awamu ya Tatu amesema kwa kawaida hakuna Serikali ya demokrasia inayokataa ushauri wa Bunge.
"Haya mambo yanapojitokeza mara kwa mara lazima tukubali kuna tatizo mahali fulani, kubwa kabisa ni Serikali lakini Bunge nalo halifuatili," alisema.
Sumaye anatoa kauli hiyo ikiwa ni takribani wiki mbili zimepita tangu Ripo-ti za CAG Charles Kichere kwa mwaka 2021/22 zilizowasilishwa bungeni jijini Dodoma.
Katika mahojiano kati ya Sumaye na televisheni ya mtandaoni ya Dar 24, yalijikita katika masuala mbalimbali yanayomhusu Sumaye na ripoti za CAG, alisema;
"Bunge lina kazi kubwa na linatakiwa liwe na ukali zaidi, ndiyo maana tunapenda Bunge lenye vyama mbalimbali kwa sababu ni afya kwa nchi.
"Hiki kitu watu hawakielewi, watu wanafikiri ukiwa na Bunge la chama kimoja, ndio njema, hapana. Ukiwa na Bunge la chama kimoja ndani ya mfumo wa vyama vingi ni tatizo," alisema.
Ripoti za CAG alizokuwa anajadili Sumaye zimeonyesha ubadhirifu kati-ka taasisi na mamlaka za Serikali, hali ambayo imewaibua wadau wakitaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wahusika.
Tayari Rais Samia Suluhu Hassan, amekwishaanza kuchukua hatua kwa kutengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) na kuivunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Mbali na hilo, Rais Samia ametoa maagizo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
DK Moses Kusiluka kuhakikisha makatibu wakuu na watendaji wakuu wote wa taasisi za Serikali wanapitia kwa kina taarifa ya CAG, wajibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote.
Bunge la sasa ambalo lilitokana na uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, lina wabunge wengi wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), zaidi ya asilimia 90 huku upinzani wakiwa wachache tofauti na mabunge yaliyopita na wengine hawatambuliwi na vyama vyao.
Aprili 12 mwaka huu, Spika Tulia Ack-son alisema wabunge wanaruhusiwa kuijadili ripoti hiyo kwa namna wanavyoona inafaa lakini watambue kuwa Serikali haitalazimika kujibu kwa kuwa Kamati za Bunge Mashirika ya Umma (PAC) na ile ya Serikali za mitaa (LAAC) itapitia taarifa hiyo na itawasilishwa bungeni.
Mzee sumaye anawakosoa walinda legacy walipoamua kua na bunge la chama kimoja? Inamaana hajui kua walinda legacy ndio wazalendo wa kweli ambao waliamini katika chama kimoja bungeni? Mzee sumaye nakwambia ngoja walinda legacy waje....Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema Bunge linapaswa kuwa kali katika kuisimamia na kuishauri Serikali.