Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,742
- 1,725
Sumaye anafaa kabisa.
Kweli hiki ni kichekesho....huyu jamaa ataweza kuvaa viatu vya Dr. Wilbroad Slaa??? Labda kuwe na makatibu wakuu wawili, Sumaye na Kingunge, combined ndo wanaweza kumkaribia Dr.
Cc Mzee Mwanakijiji
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
Kama ni kweli nazidi kuamini kuwa chadema ni chama cha kikanda. Chama cha kaskazini
Salum Mwalimu kwani katokea Kask.....................? Chama kina wenyewe
Kweli hiki ni kichekesho....huyu jamaa ataweza kuvaa viatu vya Dr. Wilbroad Slaa??? Labda kuwe na makatibu wakuu wawili, Sumaye na Kingunge, combined ndo wanaweza kumkaribia Dr.
Cc Mzee Mwanakijiji
Jamaa alikuwa meneja kampeni wa CDM. 😛eace:😛eace:😛eace:
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
Lini alikuwa meneja kampeni wa CCM?, tangu 1995 kabla ya yeye kuwa waziri mkuu campaign manager wa CCM ni comrade Abdulrahman O.Kinana.he is the brain behind every trip hii since then
Mr. Zero hana uwezo wa kufikia viwango vya utendaji kama Dr. Slaa; bora hicho cheo apewe Prof. Abdallah Safari
Punguza majungu wewe tunakujua kwa propaganda za maji taka. Post zako zote zimekaa kimajungu na ID zaidi ya 25 humu.
Au muulize jamaa kama amemuona MUSSA ALLAN wa leo
huyu jamaa ni bogus hawezi kuwa meneja kampeni wa ccm. Ukawa ni tunu huyu.lini alikuwa meneja kampeni wa ccm?, tangu 1995 kabla ya yeye kuwa waziri mkuu campaign manager wa ccm ni comrade abdulrahman o.kinana.he is the brain behind every triumph since then