Siku zote huna akili! Kinana alichaguliwa na nani? Hivi Mwenyekiti wa CCM huwa anachaguliwa na nani? Aliyeshika nafasi ya pili wakati wa kumchagua JK kuwa mwenyekiti wa CCM alikuwa nani? Je wakati wa Mkapa?
Narudia tena, huna akili!
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
Sumaye tayari ni katibu mkuu chadema....Teh teh teh kwahiyo Mkuu unataka kuniambia Sumaye huyu aliyeiba shamba la Magereza pale Kibahigwa anapewa Ukatibu Mkuu Chadema?
At Mitaa ya Uswahili.
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.
Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.
Tusubiri
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.
Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.
Tusubiri
hapo ni sawa kabisaaaa maana imeandikwa na ni lazima yatimieWanaJF