Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.

Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.

Tusubiri

we poyoyo sasa si usubiri ndo uje baadae unaleta uzi then unasema tusubiri jinga wewe
 
Hatimaye vigogo wa chadema wapo katika maandalizi ya kumkabidhi nafasi ya ukatibu mkuu akiyekuwa Waziri mkuu awamu ya tatu. Wazee na watu muhimu ndani ya chama tayari wamepitisha jina la bwana Sumaye.
 
Lowasa mgombea urais- mkaskazini
Samaye katibu mkuu-mkaskazini
Mbowe mwenyekiti -mkaskazini
John Mrema mkurugenzi CDM- mkaskazini.
Mnyika -mkaskazini.
Mdee -mkaskazini.
Komu mhazini -mkaskazini.

wabunge wa viti maalum wote kutoka kaskazini.

CDM sikio la kufa.

nafikiri walikuwa na hamu ya kufa sasa watakufa kama TLP,NCCR,UMD ,UDP nk.
 
naona wameamua kupigilia msumari wa mwisho chadema, kwa mtaji huu wa Mr Zero chadema ndio itapotea kabisaaa. mnawachezea wananchi kwa faida yenu naona.
Kama ni kweli tatizo liko wapi? kama CCM ina wabunge zaidi ya 280 wa kuchaguliwa lakini MAGUFULI amekosa anayefaa kuongoza Wizara hadi akateua wabunge wa vitu maalum vipi kuhusu hilo?
 
Semeni wenyewe
Sumaye na kinana nani anaweza kazi ya ukatibu ipasavyo?
Sumaye kaweza kunadi ilani.cdm vizuri kabisa, kaonesha ukomakvu na ukuu wa hoja jukwaan na kuwanad wagombea wa cdm
Kama aliweza uwazir mkuu ndio ashindwe ukatibu na ndiye mtu alicope vizir na haraka katka opposition ideologies kuliko wengine tena hata kumpita lowassa
Anafaa sana na ni hazina hiyo kama hamuon na kama hamkujua pindi anakija
 
CCM ya kwenu yana washinda kaz kushadadia ya wenzenu, na huo ukanda mnao uhubir utarudia siku si nyingi ovyo kabisa
 
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..

Teh teh teh kwahiyo Mkuu unataka kuniambia Sumaye huyu aliyeiba shamba la Magereza pale Kibahigwa anapewa Ukatibu Mkuu Chadema?

At Mitaa ya Uswahili.
 
Unamkubali Mr. Zero na unamponda Prof. Muhongo. Je huu siyo uzuzu?
 
Lowasa mgombea urais- mkaskazini
Samaye katibu mkuu-mkaskazini
Mbowe mwenyekiti -mkaskazini
John Mrema mkurugenzi CDM- mkaskazini.
Mnyika -mkaskazini.
Mdee -mkaskazini.
Komu mhazini -mkaskazini.

wabunge wa viti maalum wote kutoka kaskazini.

CDM sikio la kufa.

nafikiri walikuwa na hamu ya kufa sasa watakufa kama TLP,NCCR,UMD ,UDP nk.

na mtu akichukua silaha ya ukanda na kuwatwanga msilalamike kwani mseto huu unaakisi ukanda nje ndani. laana ya mwl. nyerere ya kupinga aina zote za ubaguzi itawafuna cdm na hamtofanikiwa kamwe. kwa hali hii nauoma mwanzo wa mwisho wenu katika siasa za tz.
 
Back
Top Bottom