Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
Anafaa Sana Sana sanaaaaa
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.
Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.
Tusubiri
Pitia katiba za vyama,anzia ccm mpaka vyote,then utajua katibu wa chama hupatikanaje.Wakati fulani usipojua kukaa kimya kwenye jamvi kama hili utaelewa kupitia wenzio,soma mada kwanza uielewe ndo uchangie,Kinana hakuchaguliwa,Mangula hakuchaguliwa,Slaa hakuchaguliwa,Prof Safari hakuchaguliwa na mkutano,huteuliwa then vikao husika humpitisha kama anafaa.Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
Katibu mkuu huwa hachaguliwi
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
Kama anao uwezo sioni tatizo!
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.
Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.
Tusubiri
Sumaye Cdm tunakuunga mkono na 2020 chukua fomu uikomboe Tanzania..
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
huyu rutta kuna kitu kinamwasha sana achana naye huyu ni kama lukosMkuu hivi mpaka leo bado unaacha akili zako kwenye vmakabati ya Nepi pale Lumumba?
Jitahidi uwe unatoroka mara mojamoja utaendelea kuwa kituko mpaka lini? Siamini kama hujui utaratibu wa upatikanaji wa Katibu mkuu ndani ya Chadema.... Siamini.
Hivi umemwona Laki si pesa wa leo? Wewe unasubiri nini? Jiongeze.
BACK TANGANYIKA