Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

Mheshimiwa Sumaye kesho atazungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Courtyard, Dar es Salaam. Atazungumzia kilichompata Dodoma na hatima yake kisiasa ndani ya CCM.

Chanzo: Mmoja wa wandaaji wa mkutano huo.

Kanjanja manyerere jacton katika ubora wake....ni saa saba hii
 
Waziri mkuu wa zamani amejitioa CCM rasmi kuanzia Leo. Akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi w courtyard jijini hapa anasema amechoshwa na democrasia uchwara ndani ya CCM.
 
Kama utapata ushindi njoo uchukue...Moto wa MABUAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:SINEMA hiyo inaendelea niongeze :popcorn:
 
waziri mkuu wa zamani amejitioa ccm rasmi kuanzia leo. Akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi w courtyard jijini hapa anasema amechoshwa na democrasia uchwara ndani ya ccm.

democrasia ipi uchwara alipogombea 2010 mbona hakuama? Walewale wa kanda acha aende ,mimi nawashangaa wanazani ccm kuwa kimia ni wajinga wasubili waone ,hata iweje dora ni ya magufuli acha waende, zao,wajipange na nafasi ndani ya serikali yao ya kasikazini,

pumbav saana wewe
 
ccm lazima ife, hakuna namna tena!

Wamepuuza maoni ya wananchi, sasa wanaipata outcome yake!

No way out! ....

maoni gani?
Mbona zile nukuu za ikulu sio pango wla rushwa na wenye madoa ya ufisadi haujanukuu,mnachekesha mnazani nyie ndo muna akili sana na kujua nukuu za nyerere kuriko wengine?

democrasia ipi uchwara alipogombea 2010 mbona hakuama? Walewale wa kanda acha aende ,mimi nawashangaa wanazani ccm kuwa kimia ni wajinga wasubili waone ,hata iweje dora ni ya magufuli acha waende, zao,wajipange na nafasi ndani ya serikali yao ya kasikazini,

Serikari ya Riz vipi.
 
Back
Top Bottom