TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,269
- 27,941
Haaa... Tuwakumbuke Failure ktk siasa???Sumaye,Lowasa ilikua ni agenda ya ccm leo. Mtawakumbuka sana hawa watu
Uko sahihi kabisa tatizo ni Chadema sio Ile Ile kama mpinzani mkuu wa Ccm. Agenda ya ufisadi imezikwa.Ccm ni ile ile no 1
Ulushawahi kuna WAP wazri....juu anagombania cheo cha udiwani ....dah hii njaa hatar sana...yaani from uwari ..kuu hadi kugombania ...hahahahhaaaaWaziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Fredrick Sumaye ameitaka CCM kukaa chonjo kwani Chadema imedhamiria kutwaa dola mwaka 2020 na haitishwi na porojo za chama hicho hicho kinachoonyesha wazi kufilisika.
Sumaye amesema anayo kazi moja tu ya kukitumikia Chadema na kukieneza kuanzia vitongojini na wala hashtushwi na watu wanaomsakama kwani wanaonyesha hofu kubwa waliyo nayo kwake.
Sumaye alizungumza kwa kifupi sana wakati anaingia ndani ya kikao cha Kamati Kuu Chadema kutokana na swali aliloulizwa na mwandishi kuhusu jina lake kuwa kama agenda kwenye mkutano mkuu wa CCM leo.
Jina la Sumaye lilitawala ndani ya mkutano mkuu huo ambaye alitajwa sana kwa kejeli na viongozi kadhaa waliopata nafasi ya kuzungumza ndani ya mkutano huo.
Hiyo ni kuashiria Waziri mkuu huyo mstaafu ni kati ya watu wanaoitia kiwewe CCM.
Njaa mbaya Liza bonilizaboni ivi kwa unafiki wako unalipwa sh. ngapi na ccm kwamana mara nyingi nakuona unajifanya unaijua sana ccm wakati umezaliwa ccm umeikuta.
Ukimaliza kushangaa pia jiulize kama ni rahisi mtu kutoka kuwa Naibu Katibu mkuu UN na kisha kwenda kuwa BaloziUlushawahi kuna WAP wazri....juu anagombania cheo cha udiwani ....dah hii njaa hatar sana...yaani from uwari ..kuu hadi kugombania ...hahahahhaaaa
Wewe Lisbon unahagaika na watu ambao chama vyao viko ICU vinasubiliwa kuzkwa 2020Lazima tuwakumbuke mafisadi papa
NINGESHANGAA KAMA UNGEFAHAMU MAANA MAWAZO YAKO YOTE YALIKUWA KATIKA BUKU SABA DODOMA.Kumbe Kamati Kuu imefanyika? Ndo kwanza nasikia hapa
Watanzania tumetawaliwa na unafiki mkubwa sana. Kwanza kitendo cha Kikwete kwenda kwenye mkutano mkuu wa chama chake na kuzungumzia Sumaye na Lowasa ni UNAFIKI NA KUFILISIKA kisiasa na hata kiuongozi. Hiyo maana yake ni kwamba hotuba iliyotayarishwa iliwekwa Yale majina, kwa faida gani kwa Watanzania? Mtu aliyekaa Ikulu kwa miaka kumi na aliyekuwa mwenyekiti wa chama miaka kumi, halafu anamalizia kwa kutoa vijembe ni kukosa uvumilivu, kutawaliwa na umbea na unafiki ktk maisha. Lakini pili, Sumaye na Lowasa sasa ni wanachama wa Chadema, wao kushika wadhifa wowote ni wajibu na haki yao kama wanachama. Suala la kwàmba mtu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu kushika madaraka ya chama ngazi za kawaida kuonekana ni kushuka thamani ni matokeo ya fikra mgando tulizolishwa na tunazoendelea kulishwa na Ccm. Na huo ndiyo UNAFIKI wa wanaccm. Mbona Urusi Putin alishika Urais, akarudi kwenye Uwaziri Mkuu na kisha Urais tenà? Na kwa nini kukaa unamfikiria mtu aliyekwisha kuondoka kwenye chama chenu? Taifa linabaki kushuhudia unafiki kwa watu walioaminiwa na wananchi na kucheza vigodoro tu kama kwamba dunia inatusubiri. Tunavaa mamitumba kwa sababu ya unafiki wenu viongozi, na kamwe hatutakaa tufanikiwe kupata maendeleo.
mbona mtumbuaji hajawapeleka jela?Lazima tuwakumbuke mafisadi papa
Lowassa na Sumaye Mafisadi, Chadema wamekubali kuwaficha mafisadiYani leo kila baada ya neno ni Chadema, Lowasa, sumaye, Hawa magamba watakufa kwa pressure mwaka huu, ukiwa muovu lazima ukose amani.
Lazima tuwakumbuke mafisadi papa
unatokwa povu hata kuandika Rc.By the way, ahsante Molemo kwa.kumjibia Wa Mchangani. Swali langu kwako, je ulifanikiwa kumtekodi wakati akitoa ufafanuzi huo?