Sumaye amponda Lowassa

Angekuwa mwingine angebisha yale yaluyokuwepo muda huo, kwa kuwa hujapindisha msimamo wako, kwa leo nasema ur a man of his words kuhusu maamuzi yaliyotokea.
 
Hizo thread zipo nenda kajadili huko.
Hii inahusu Unafiki wa Makamanda
 
Acha nichochee kuni. Unaitwa Uongo, Unafiki na Uzandiki uliopea. Makamanda hawajui wanapigania nini. Ni kama hawana agenda wanazosimamia.

2015 Mbowe alipuliza Upepo Manyoya yapeperuke tuone nyuchi za Makamanda!

Tunashukuru Kamanda Mbowe najua 2020 pia hutotuangusha!
 
Mnyukano. Kifo cha CCM kiko mikononi mwa Lowassa. Wanaompinga ni sawa na wanaompenda. Mkimmeza moto, mkimtema moto pia.

Ulikuwa humjui vizuri Jakaya Mrisho Kikwete Isasa hivi itakuwa ushamjua !

Mwishoni mwa Vita Maadui zake wote wakakumbatiana Lowassa , Mbowe na Sumaye hivyo alitumia Mlipuko mmoja tu kusambaratisha ngome ya Kaskazini!
 
Mleta uzi, inaonekana una kumbu kumbu sana, hebu Tuletee na mwingine wa upande wa pili tu balance habari, BAK tumeshakubali msimamo wake.
 
Ulikuwa humjui vizuri Jakaya Mrisho Kikwete Isasa hivi itakuwa ushamjua !

Mwishoni mwa Vita Maadui zake wote wakakumbatiana Lowassa , Mbowe na Sumaye hivyo alitumia Mlipuko mmoja tu kusambaratisha ngome ya Kaskazini!
JK yupo vizuri. Makamanda wenyewe wanamkubali mpaka kesho.
 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Hawezi kujitetea .. Nadhani atahonga hadi chadema apepetushe bendera...

Opps kumbe yalishatimia
 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Duh! Ila kweli LOWASA MABADILIKO!!!!!!
 
Sijui Lowassa atajitetea vipi na hili dongo la rushwa anazozitoa misikitini na makanisani ili Viongozi wa nyumba hizo za ibada wampigie debe la nguvu kwa waumini wao kuelekea katika uchaguzi wa 2015.
Hiyo kazi ya utetezi hukujua itakuja kufanywa na sisi tuliomtuhumu ....
 
Lowassa anafahamu kuwa kazungukwa na wanafiki ndiyo maana anawaburuza. Kesha tangaza kuwa 2020 yeye ndiye mgombea.

Vibaraka wanasubiri muda wapige muhuri. Hawezi kuwaachia wafikiri kwa sababu anawajua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…