Mnafiki mkubwa huyu kada wa mfumokristo!.Mbona hakuzungumzia watu wanaokuwa mawaziri wakuu katika Afrika halafu muda si muda wakajenga majumba makubwa kila kona?.katika kipindi cha dk 45 cha ITV leo, ametumia neno nchi za kiafrika lakini ndani yake ameongelea tanzania "kinyemela",
kasema tatizo kubwa la nchi za africa wanatumia uraisi vibaya, akasema unakuta mtu alikua mtu wa kawaida tu lakini gafla
amekua raisi basi amekua tajiri, watoto wake matajiri, anasema matatizo makubwa ni ufisadi na matumizi mabaya ya uraisi.
kingine aliulizwa mbona amekaa pembeni huku akiona nchi inaelekea kubaya? akasema hawezi kwenda kumsaidia mtu bila kuitwa,
tena akasema hata mzee mkapa alishalisema hilo swala kwenye mkutano uliofanyika pale mlimani city.
my take: hiki chama chao kinawaka moto kichinichini, yani wanauana kinyemela nyemela....yangu macho.
Nami nakishuhudia kipindi. Inavyoonekana Sumaye ameamua kupumua kwa kupunguza dukuduku lake moyoni. Njia aliyotumia ni sahihi kabisa. Ameamua ku-generalize ili kwenye kapu hilo na mkuru aingie. Ukweli ni kwamba alimlenga mkuru mwenyewe.Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye anawalipua vibaya watawala wa Africa kwa ufisadi mkubwa na kukabidhi taasisi ya Urais kwenye familia zao.Wenye access angalieni sasa hivi ITV katika kipindi cha dk 45
mama wigiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............................Amemlipua vibaya na Anna Makinda.
Dr Dr Dr Mwanajeshi aliyekimbia kambi, Professor to be, Mtuhumiwa wa ufisadi, Rais wa NEC, Alhaji Kikwete kazi anayo mwaka huu 2012, goma ndio limeaanza. Atakufa kwa presha za maandamano na midahalo mwaka huu. Ushauri wa bure iongezwe bajaji ya Ambulance kwenye msafara wake moja haitoshi.