Sumatra

Lawkeys

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
1,118
287
Wadau nimeitwa kwa interview SUMATRA (Legal Officer). Niliomba kazi muda mrefu baadaye nikapata kazi sehemu nyingine. Ninafikiria kupotezea ikiwa hela yao sio ndefu sana. Tafadhali nishauri package zake zikoje nijipime?
 
kwani mwanang na job nyingine mpaka hii uipotezee...
mi natafta ata ya kchimba mashimo hata wakinipa laki moja no jobs in town na life iz tyte
 
nenda bwana ujaribu! si unajua package zao zina base kwenye government.nenda ujaribu
 
Kaka siku nyingine usiulize maswali kama haya, watu wanatafuta kazi hata ya fifty thousands per months ili waweze kujikwamua wewe unauliza nini? Sasa ninaamini ule msemo aliyeshiba hajui njaa. Anyway labda ungeliweka swali lako hivi.."Wadau kuna mtu yoyote anaweza kunipatia taarifa za package za sumatra? au Sumatra wana mishahara mizuri? Instead ya kusema unataka kupotezea.
 
kweli bana ulichsema cha maana watu huwa hawajui nini cha kuuliza wap na wakati gani ndio yaleyale ya mkapa na lusinde arumeru
 
Kama ulikuwa unajua huna shida na kazi za Sumatra kwa nini uli-apply ?? Mwanzoni hukufikiria kuhusu package zao au unaogopa interview? Watu wanapalilia wewe unasema eti upotezee?? Nyie ndo wale wale mnaoangalia mishahara bila ya kufanya kazi upate experience ili siku moja uje kupata kazi unayoooitaka kwa kiwango unachotaka( PACKAGE) maswali mengine mnatafuta watu wakujibu vibaya , wenzako wanaangaika hata kuitwa kwenye interview hawajawahi wewe unauliza pumba
 
kama una kazi na wamekuita ujue kazi yako ya sasa hailipi vizuri kama yao,we nenda usipotezee
 
Kaka siku nyingine usiulize maswali kama haya, watu wanatafuta kazi hata ya fifty thousands per months ili waweze kujikwamua wewe unauliza nini? Sasa ninaamini ule msemo aliyeshiba hajui njaa. Anyway labda ungeliweka swali lako hivi.."Wadau kuna mtu yoyote anaweza kunipatia taarifa za package za sumatra? au Sumatra wana mishahara mizuri? Instead ya kusema unataka kupotezea.

Thanks for a fair note
 
Wadau nimeitwa kwa interview SUMATRA (Legal Officer) nafikiria kupotezea vipi package zake zikoje?

kwa nini uliomba?

usitubabaishe hauna uwakika wa kupata kwani umeshazoea kupachikwa na jamaa na marafiki zako wa karibu Hata hapo ulipo umewekwa na mtu

najua unatucheka na kutukebehi siye akina kajamba nani ILA ipo siku nasi tutafurahi na kucheka kama wewe

NB: HAYA MAISHA BWANA TUSICHEKANE ILA TUOMBEANE DUA
 
Jamani Huyu anawazingua anaitamani hiyo kazi na keshapiga pasi mguu zake za xmas kwa ajili ya interview!
 
Mkuu mi mwenyewe kajamba nani pia. Mbaya zaidi ni kwamba nina upper second kali na ya heshima lakini nimesota kusaka job for 2.5 years. Ukweli ni kwamba neema imefunguka ghafla. Sijawahi kumdharau mtu hata siku 1. Usivunjike moyo jaribu tena. Nimetuma applctns zaidi ya 60 lakini nilikuwa napigwa chini mpaka zile amba ninazidi vgezo.

Nishauri, I am a just man, sijawahi kupendelewa na sipendelei mtu ila merits. Nikipata, who knows, utapata pia.
 
watu wengine cjui vp watu tunataka hizo interview wee unakimbia

Utapataje interview wakati unajibu vitu ambavyo hukuulizwa. Acha negative attitude. Ndio nyie mkifika kwenye interview mnaonekana disperate! Ulitaka nimuulize nani sasa? Huko ni kuninyanyapaa. Kama huna jibu ukikaa kimya umeambiwa utaadhibiwa? Know that I honestly asked, pleeeeease!
 
Jamani Huyu anawazingua anaitamani hiyo kazi na keshapiga pasi mguu zake za xmas kwa ajili ya interview!

Si kweli mkuu, mbona unadanganya umma. Ninataka hela sio kazi, it will make no sense kama hakuna substantial difference na kazi niliyonayo sasa afu niache kibarua niendee kwenye interview. We taja mpunga wanaotoa kama nilivouliza acha negative attitude.
 
Nipatie hiyo nafasi mimi, nashida na kazi hata ya elfu hamsini.

Ombi lako liko juu ya uwezo wangu mkuu. Endelea kufanya applications. Ondoa hobbies na mbwembwe kwenye CV eleza kwa upana zaidi umewahi kufanya nini kinachohusiana na kazi unayoomba.
 
Back
Top Bottom