Don Alaba
Senior Member
- Nov 3, 2010
- 168
- 18
Ni kweli mie nimepigiwa simu jana asubuhi, mie niliomba nafasi ya mtakwimu tena tunaanza na written udsm computer lab sema kama kuna mtu nae yupo aniambie jina la hiyo room pale udsm pia kama mtu ana experience ya written anipe dondoo au format maana mzigo wa takwimu una wigo mkubwa sana!
Kwa wale waliomba kazi SUMATRA walianza kupiga simu Ijumaa kwahiyo usikae mbali na simu usaili inaanza 10/06/2016, nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwishoni.