SUMATRA wameanza kuita kwenye Usaili

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,168
6,321
Kwa wale waliomba kazi SUMATRA walianza kupiga simu Ijumaa kwahiyo usikae mbali na simu usaili inaanza 10/06/2016, nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwishoni.
 
another man down.niliomba licence officer ila ka naona sijaitwa mpaka leo.
 
Kwa wale waliomba kazi SUMATRA walianza kupiga simu Ijumaa kwahiyo usikae mbali na simu usaili inaanza 10/06/2016, nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwishoni.
Mkuu vip wameita watu wote au kwa nafasi ulio iomba ww,?
 
Kwa wale waliomba kazi SUMATRA walianza kupiga simu Ijumaa kwahiyo usikae mbali na simu usaili inaanza 10/06/2016, nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwishoni.
VP zile za mwisho za Sumatra za tar 27/5/16 wameshaitwa ktk usaili
 
Back
Top Bottom