FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,890
- 43,782
Hii itasaidia watu wengi zaidi kufaidi daraja linalozinduliwa kesho
Unakujua Mji Mwema mkuu au umekosea?Hii itasaidia watu wengi zaidi kufaidi daraja linalozinduliwa kesho
Nivuka kwa pantoni huwa napanda gari hadi mji mwema. Sasa hakuna uwezekano wa kutoka kivukoni hadi mji mwema kwa daladalaUnakujua Mji Mwema mkuu au umekosea?
Ndugu Francis Da Don hebu fafanua hiyo ruti unayopendekeza ili niweze kufuatilia.Nivuka kwa pantoni huwa napanda gari hadi mji mwema. Sasa hakuna uwezekano wa kutoka kivukoni hadi mji mwema kwa daladala
Inaonekana kuna mji mwema zaidi ya Moja au?Ndugu Francis Da Don hebu fafanua hiyo ruti unayopendekeza ili niweze kufuatilia.
Najua kuna daladala zinatoka Feri kupitia Mjimwema kwenda Kongowe au unaongelea kutoka darajani kwenda Mjimwema?
Dkt Faustine Ndugulile-Mbunge Kigamboni
Sijui, ila najua lipo, either way, ianzishwe route itakayosaidia kutimiza malengo niliyoyaeleza hapo juu, via the damned bridge.Francis Da Don... nikuulize kitu kidogo ili iwe rahisi kukusaidia.... Hivi unajua Daraja linapoishia/kuanzia upande wa Kigamboni?
Hii route muheshimiwa itapendeza ikiwa kutoka kariakoo via daraja mpaka mathalani mji mwema au kimbiji,mwasonga nk.Ndugu Francis Da Don hebu fafanua hiyo ruti unayopendekeza ili niweze kufuatilia.
Najua kuna daladala zinatoka Feri kupitia Mjimwema kwenda Kongowe au unaongelea kutoka darajani kwenda Mjimwema?
Dkt Faustine Ndugulile-Mbunge Kigamboni
Kwa kweli bila uanzishwaji wa route hizo alizotaja foleni za kwenye kivuko hazitapungua sana.Ni kweli mheshimiwa route hizo ndefu via darajani ndio hasa tunazosubiri,na pia foreni ya magari kuvuka pale kivukoni hakika itapungua sasa
Well notedNawashukuru kwa michango yenu. Kwa sasa hakuna mipango yoyote ya kuwa na ruti za daladala toka darajani hadi maeneo mbali mbali ya Kigamboni. Ila ninaamini huko mbele ya safari itabidi tuangalie ruti za kutoka maeneo mbali mbali kuja Kigamboni kupitia darajani, mfano, Mbagala-Kigamboni, Temeke-Kigamboni, Gongo la Mboto-Kigamboni n.k.
Kwa sehemu ya barabara toka darajani kuja barabara ya Feri-Tungi-Kibada kuna kazi inayoendelea ya kusogeza barabara hiyo hadi pale Petrol Station ambapo kutakuwa na interchange. Kwa sasa tunapambana kutafuta fedha ili kumalizia kipande kilichobaki cha 3.4 km kutoka Vijibweni hadi Kibada.
Katika design ya barabara toka darajani kutakuwa na matoleo ya barabara kwenda Mjimwema. Fedha hii bado kupatikana.
Aidha kupitia Halmashauri ya Manispaa ya Temeke tumepanga kuanza ujenzi wa barabara ya Tungi-Soko Maziwa-Mjimwema kwa kiwango cha lami.
Dkt Ndugulile Mb-Kigamboni
samahani mh hii barabara ya kuelekea kimbiji hiki kipande cha kuanzia mwembe mdogo mpakaNawashukuru kwa michango yenu. Kwa sasa hakuna mipango yoyote ya kuwa na ruti za daladala toka darajani hadi maeneo mbali mbali ya Kigamboni. Ila ninaamini huko mbele ya safari itabidi tuangalie ruti za kutoka maeneo mbali mbali kuja Kigamboni kupitia darajani, mfano, Mbagala-Kigamboni, Temeke-Kigamboni, Gongo la Mboto-Kigamboni n.k.
Kwa sehemu ya barabara toka darajani kuja barabara ya Feri-Tungi-Kibada kuna kazi inayoendelea ya kusogeza barabara hiyo hadi pale Petrol Station ambapo kutakuwa na interchange. Kwa sasa tunapambana kutafuta fedha ili kumalizia kipande kilichobaki cha 3.4 km kutoka Vijibweni hadi Kibada.
Katika design ya barabara toka darajani kutakuwa na matoleo ya barabara kwenda Mjimwema. Fedha hii bado kupatikana.
Aidha kupitia Halmashauri ya Manispaa ya Temeke tumepanga kuanza ujenzi wa barabara ya Tungi-Soko Maziwa-Mjimwema kwa kiwango cha lami.
Dkt Ndugulile Mb-Kigamboni
Na mimi nilikuwaa nawaza hivyo hivyo, Wa Kimbiji inabidi wakishuka Panton, kuna mabus mabovu mabovu na machafu mnoo ambaye yanaelekea Yale yale puna, Na Pemba Mnazi sijui KUPITIA HAPO KIMBIJI...Na Mabus hayo utakuta wenye mihongo, Ndizi na dagaa humo humo yani kama mabus ya Shamba flani, hayana ustaarab hata kidogo, Ni bora kuongezwe route za mabus mengi ya route ya moja kwa moja kama aliviyosema mkuu.Hii route muheshimiwa itapendeza ikiwa kutoka kariakoo via daraja mpaka mathalani mji mwema au kimbiji,mwasonga nk.
hii itasaidia kufungua maeneo hayo pia....changamoto ni barabara ya kwenda uko barabara ni mbovu sanaNa mimi nilikuwaa nawaza hivyo hivyo, Wa Kimbiji inabidi wakishuka Panton, kuna mabus mabovu mabovu na machafu mnoo ambaye yanaelekea Yale yale puna, Na Pemba Mnazi sijui KUPITIA HAPO KIMBIJI...Na Mabus hayo utakuta wenye mihongo, Ndizi na dagaa humo humo yani kama mabus ya Shamba flani, hayana ustaarab hata kidogo, Ni bora kuongezwe route za mabus mengi ya route ya moja kwa moja kama aliviyosema mkuu.
Asante Mbunge Wetu.Nawashukuru kwa michango yenu. Kwa sasa hakuna mipango yoyote ya kuwa na ruti za daladala toka darajani hadi maeneo mbali mbali ya Kigamboni. Ila ninaamini huko mbele ya safari itabidi tuangalie ruti za kutoka maeneo mbali mbali kuja Kigamboni kupitia darajani, mfano, Mbagala-Kigamboni, Temeke-Kigamboni, Gongo la Mboto-Kigamboni n.k.
Kwa sehemu ya barabara toka darajani kuja barabara ya Feri-Tungi-Kibada kuna kazi inayoendelea ya kusogeza barabara hiyo hadi pale Petrol Station ambapo kutakuwa na interchange. Kwa sasa tunapambana kutafuta fedha ili kumalizia kipande kilichobaki cha 3.4 km kutoka Vijibweni hadi Kibada.
Katika design ya barabara toka darajani kutakuwa na matoleo ya barabara kwenda Mjimwema. Fedha hii bado kupatikana.
Aidha kupitia Halmashauri ya Manispaa ya Temeke tumepanga kuanza ujenzi wa barabara ya Tungi-Soko Maziwa-Mjimwema kwa kiwango cha lami.
Dkt Ndugulile Mb-Kigamboni
Kwahiyo katika barabara alizotaja Muheshimiwa hii barabara haipo mana ni kweli barabara yake ni balaa mawe hasa barabara mbovu kama magari yenyewe yanayokwenda huko.hii itasaidia kufungua maeneo hayo pia....changamoto ni barabara ya kwenda uko barabara ni mbovu sana