SUMATRA TUPATIENI JIBU

SUMATRA TUPATIENI JIBU

Joined
Jan 7, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami toka Songea- Tunduru - Mangaka hadi border na Mozambique umekamilika. Pamoja na kukamilika kwa barabara hiyo lakini viwango vya nauli bado viko juu sawa na wakati ule wa barabara ya vumbi. Sumatra mko wapi. Mbona sehemu nyingine mliwahi kupanga viwango vya nauli mara baada ya barabara kukamilika.
Ukimya wenu unatupa mashaka. Mnasubiri tamko la nani? Wananchi wanateseka na viwango vya juu vya nauli.
 
Wanakula na wenye mabasi. Wakishiba watakuja!
 
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami toka Songea- Tunduru - Mangaka hadi border na Mozambique umekamilika. Pamoja na kukamilika kwa barabara hiyo lakini viwango vya nauli bado viko juu sawa na wakati ule wa barabara ya vumbi. Sumatra mko wapi. Mbona sehemu nyingine mliwahi kupanga viwango vya nauli mara baada ya barabara kukamilika.
Ukimya wenu unatupa mashaka. Mnasubiri tamko la nani? Wananchi wanateseka na viwango vya juu vya nauli.
Lami imefika Mangaka? Very good.
 
Back
Top Bottom