Kufuatia kuondolewa kwa road licence na badala yake wenye magari kutakiwa kuilipia kupitia mafuta kumekuwa na rumours kwamba hawa watu wanataka wapandishe nauli kinyemela.
ifahamike ya kwamba kilichofanyika ni kutaka ile hela waliyokuwa wakilipa at once ilipwe taratiibu kupitia mafuta wanayojaza.
usije ukawa ni uchochoro wa watu kupigia hela kwa kupandisha nauli kiholela na kuwafanya wananchi kuona serikali kupitia mh Rais Magufuli hawana nia njema na hilo
Nasema hivi kwa sababu kumekuwa na tendency kila kukitokea charge kidogo let say ushuru umeongezeka kwa let say 5000 nauli inaongezwa kwa 2000@head kitu ambacho hakina uwiano. imefika mahali distance na nauli haviendani.
Naomba kuwasilisha