SUMATRA na ratiba mpya ya mabasi

SUMATRA na ratiba mpya ya mabasi

hapa wanaongeza maabukizi ya ugonjwa wa ukimwi
Itabidi ukienda kukata tiketi unaomba ukae na dada pembeni.Lazima atakulalia tuu ikifika saa9 usiku au unatoa offer ya kwenda kulala gesti ili alfajiri mrudi kuendelea na safari.Madhara ni makubwa kuliko faida hao sumatra Wameshindwa kuzuia bodaboda zinazoua kila sekunde sababu ya wanasiasa
 
watafte mbinu za kurahisisha usafiri sio wanacho kifanya sasa ivi kuongeza gharama kwa abiria imagine umetoka dar unaenda mwanza let say ulale shinyanga huu si upuuz
 
Back
Top Bottom