MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,859
SUMATRA imeanza kutoa ratiba mpya za mabasi ambapo ruti za mbali mf. Mwanza na Mbeya mabasi yatatakiwa kulala njiani na kuingia asubuhi kesho yake kama inavyonekana kwenye ratiba hapa chini.
Hatua hii inakuja ili kuthibiti mabasi kutembea usiku na kuingia mf, Mbeya saa nane usiku, kisha saa 12 asubuhi basi linageuza kurudi Mwanza.
Yapi maoni yako kuhusu hatua hii mpya?
View attachment 333495
A law minus any enforcement mechansm
is as good as a puppys poodle; wemejiandaaje kusimamia utekelezaji wa ratiba hiyoooo??!! Na human error je?! Na rushwa je?! Na vitisho vya vigogo je!?