shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Umetisha, mfano unasafiri na mzazi, dada, kaka, kwenye basi mnamizigo, mnafika dom mnashusha mizigo yenu, mnaanza kutafuta hotel, na mmefika kipindi bunge limeanza, hivyo inabidi mkodi tax kuifuata hotel, asubui tena hivyo, tengeza picha km hiyo, alafu asubui unakuta bunda limejaa, hivyo mlale tena!!!Nani analala kwenye kiti! unapanda bus la Dar Dom, unachukua hotel unalala kesho yake unapanda bunda bus Dom Mwanza.