SUMATRA hiki kinachoendelea kwa wana Dar es salaam mnakiona?

SUMATRA hiki kinachoendelea kwa wana Dar es salaam mnakiona?

Kiongozi huu usafiri ungekuwepo na basi za binafsi ziendelee kuwepo kwani huu usafiri wa mwendo kasi sio tena mwendo kasi ni mwendo mateso .kwanza uendeshaji mbovu kituoni abiria utakaa hata masaa mawili ukisubiria gari na ukiipata mnakaa kama ng,ombe jasho hewa nzito yani ni balaa hii sio haki tunapelekwa wapi sasa maana sielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kila mtu anaenda Kariakoo/Posta/Kivukoni Jiji limekosa plan ya Centers za pembeni zenye hadhi ili kupunguza tabu ya kwenda Kariakoo.Mfano japo si wa BRT mtu anatoka Tegeta Nyuki anaenda K/Koo sasa wakati wa kurudi sijui anafika saa ngapi nyumbani na analala saa ngapi na anaamka saa ngapi? lazima umri wakuishi utapungua tu!
Hilo sio tatizo Kwa udart opportunity kwao , kumbuka udart wamemonopoly market
 
Hivi jiji la dar es salaam halina wabunge ? Hili watete wananchi , maana ni mateso bila chuki , hila wahusika wako kimya wanapiga pesa Tu, hii ni hatari kubwa
 
Serikali iweke mpango mpya wa kuendeasha huu mradi na kujenga Business Centers pembeni ya Jiji..japo kuna mradi wa Barbara sijui ngapi za kutoka na kuingia Jijini
Of course Hilo la business centres ni wazo zuri
 
Back
Top Bottom