SUMATRA hiki kinachoendelea kwa wana Dar es salaam mnakiona?

SUMATRA hiki kinachoendelea kwa wana Dar es salaam mnakiona?

Faiza foxy alileta Uzi hapa majuzi, cha ajabu kuna wapuuzi Fulani wakawa wanawatete hao udart , nikajiuliza hawa watetezi wana akili timamu kweli ?
 
Kwenye miradi kama hiyo ndio unapopata haswaa majibu ya uwezo wa kufikiri. wa kuendesha miradi na kutatua changamoto za wananchi ambao viongozi wetu wanao .....

Mradi mdogo tu kama huo kama unawatoa kamasi ndio wateweza kuendesha miradi mikubwa ya gesi na ule wa umeme wa striglers gorge ambao wanaupigia makelele kuwa wanataka kuuanzisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kila mtu anaenda Kariakoo/Posta/Kivukoni Jiji limekosa plan ya Centers za pembeni zenye hadhi ili kupunguza tabu ya kwenda Kariakoo.Mfano japo si wa BRT mtu anatoka Tegeta Nyuki anaenda K/Koo sasa wakati wa kurudi sijui anafika saa ngapi nyumbani na analala saa ngapi na anaamka saa ngapi? lazima umri wakuishi utapungua tu!
 
Haha najichekeaga wanaposemaga eti sgr itakuja kuua mabasi ya mikoani labda wazuie kabisa.
Yaan hakuna mradi mrahisi kuendesha kama huo, maana return yake ni ya haraka sana. Kwanza mpaka sasa kwa miaka mitatu gharama ya ununuzi wa mabasi inatakiwa iwe imesharudi.lkn mhh
 
Nashindwa kuelewa, hivi mkuu wa mkoa haoni kuwa kuna tatizo, waziri wa uchukuzi haoni kuwa ipo shida, waziri mkuu je, haoni wananchi wanaumia? Mheshimiwa kabisa alienda kufanya ufunguzi wa huu mradi, sababu za kwenda kufungua mradi ambao hauna usimamizi ni nini?

Nchi imejaa wapumbavu hii kupita maelezo.
Acha tu hasira. Ni kweli unateseka ila, tuliza munkari eleza haja yako na utoa ushauri ni nini kifanyike. Kweli wote hao wanaona ila suluhu haiji mara ghafula. Suluhu ipo. Namuamini saana mkuu wamkoa. Lakini, kwa nini wasiyakametw baadhi ya mabasi makubwa yakawa yanafanyia njia hiyo kza wakati ule wa rush hours??
 
Unamuuliza nani
 
Kwenye miradi kama hiyo ndio unapopata haswaa majibu ya uwezo wa kufikiri. wa kuendesha miradi na kutatua changamoto za wananchi ambao viongozi wetu wanao .....

Mradi mdogo tu kama huo kama unawatoa kamasi ndio wateweza kuendesha miradi mikubwa ya gesi na ule wa umeme wa striglers gorge ambao wanaupigia makelele kuwa wanataka kuuanzisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natamani sana niwepo na kuona SGR itakavyofanya kazi mkuu, ni aibu kubwa mradi umechukua billions of money lakini hauna tija yoyote kwa wananchi, hauna ile thamani inayoonekana kwa macho.
 
Mimi natamani sana niwepo na kuona SGR itakavyofanya kazi mkuu, ni aibu kubwa mradi umechukua billions of money lakini hauna tija yoyote kwa wananchi, hauna ile thamani inayoonekana kwa macho.
Haha subiri mkuu " huo mradi ukikamilika kwa Style hiyo ya UDART ..jiandae kuona mazingaombwe .....yaani itakuwa ukitaka kucheka una kwenda kuutizama huo mradi jinsi unavyo operated tu itakuwa ni kichekesho tosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udart hovyo kabisaa lkn mradi ungekua unaendeshwa na majina kama haya Rostam,Mohamed,Issa,Athumani wala ajuza asingelalamika khs mradi huo.

Faiza foxy alileta Uzi hapa majuzi, cha ajabu kuna wapuuzi Fulani wakawa wanawatete hao udart , nikajiuliza hawa watetezi wana akili timamu kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Magufuli aseme ndio watafanya nao kitu.
Wako reactive sana taasisi za serikali.
 
Back
Top Bottom