Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
Kumekuwa na tatizo kubwa la usafiri hasa nauli kwa hiace zitokazo MJINI kwenda TENGERU mpaka USA RIVER.
Gari nyingi zimeandika bei halali ni shilingi 45O kutoka mjini mpaka Tengeru lakini cha ajabu abiria wanalipishwa shilingi 500 badala ya 450.
Swali la kujiuliza,je nauli ziloandikwa ktk ubavu wa magari ziliandikwa kimakosa au sumatra hawatambui hilo au wanafanya makusudi au sheria hazipo ?
Wengi wanajiuliza,ni lini hizi kero zitaisha au uwajibikaji ndio haupo
wakati mwingie hizi kero hazifai.
SUMATRA tuelezeni,BEI HALALI NI IPI ?