Sumaku Zinauzwa Wapi?

aisee! labda utengeneze mwenyewe, ngoja physicians waje wakuelekeze, au utafute spika mbovu kuna kijichuma chenye sumaku, teh teh teh!
 
sumaku ni madini au ni bidhaa ya viwandani?
kampuni maarufu za kutengeneza sumaku ni ipi?
 
Unahitaji Sumaku kwa matumizi gani? na pole gani -ve au +ve au zote na kiasi gani? majibu ya hayo ninaweza kukusaidia kupata!

Asante Kijakazi. Nafahamu kuwa kila sumaku ina S na N poles; kwa -ve na +ve, kwa kweli sifahamu hizo terminologies. Ningependa kupata disk-shaped magnets zenye diameter kati ya 1 na 2 cm, na zote ziwe za size moja. Idadi ni 40 au zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Hiyo -ve au +ve ni kifupi cha chanya (+) na Hasi (-) au hiyo N na S kama ulivyoeleza! Sasa wewe naomba kama unaweza niambie unahitaji kwa matumizi gani kwa maana Sumaku, inategemea sana unatumia kwa ajili gani na hizo Chanya (+) au Hasi (-) ni muhimu sana hasa ikija kwenye matumizi kwa mfano unaweza kuwa unahitaji labda Sumaku ya kuvutia kitu fulani ambacho kina chaji Chanya (+) tu na ukachukua zote za Chanya (+) maana yake ni kwamba hazitavuta bali zitasukuma hicho kitu huo nimekupa ni mfano tu, kama inakutatiza jaribu tu kuniambia unahitaji kwa matumizi gani halafu nitakusaidia/shauri!

Nafahamu hayo yote isipokuwa matumizi ya hizo istilahi negative na positive ktk sumaku. Anyway, nahitaji kwa ajili ya kutengeneza some specialized electric motor.
 
Pouwa sasa ngoja nitarudi kwako baada ya kazi leo jioni, halafu tuongee biashara au vipi?
 
Hiyo -ve au +ve ni kifupi cha chanya (+) na Hasi (-) au hiyo N na S kama ulivyoeleza! Sasa wewe naomba kama unaweza niambie unahitaji kwa matumizi gani kwa maana Sumaku, inategemea sana unatumia kwa ajili gani na hizo Chanya (+) au Hasi (-) ni muhimu sana hasa ikija kwenye matumizi kwa mfano unaweza kuwa unahitaji labda Sumaku ya kuvutia kitu fulani ambacho kina chaji Chanya (+) tu na ukachukua zote za Chanya (+) maana yake ni kwamba hazitavuta bali zitasukuma hicho kitu huo nimekupa ni mfano tu, kama inakutatiza jaribu tu kuniambia unahitaji kwa matumizi gani halafu nitakusaidia/shauri!

Mkuu, mbona unakomalia jambo usilolijua? Hakuna hasi na chanya kwenye sumaku, kuna N na S. Sumaku sio umeme, ila umeme unaweza kutengeneza usumaku, na sumaku inaweza ikawa chanzo cha umeme.
"When magnetic field cuts a conductor, or the conductor cuts magnetic field, emf is induced in the conductor"
 
Ungeanza kuniuliza kwanza badala kuanza na kashfa! Anyway sina haja ya kuanza kubishana na wewe hapa, halafu isitoshe sipendi kashfa napenda kuelimishana kwa hiyo kama unaona N and P hazina uhusiano wowote na +ve and -ve tukubali kutofautiana hili ni somo refu!
 
Usipoteze muda wako, kanunue Spika pale kariakoo, kisha korokochoa utapata sumaku, iwapo utakuta zile mbovu ndio utapata kwa bei nafuu
 
Kwa unachotaka kwa kuzipata bongo itakuwa ngumu mkuu ...
ila kama ni abroad au una jamaa abroad ni za kumwaga as watu wanatumia sana magnets kwenye crafts.., cheki ebay, amazon to name just a few.., au specialized online websites dealing with magnets (all you need is a credit card)

cheki links hizo:-
Industrial Magnetics, Inc. Magnets for Sale
Craft Magnets, Disc Magnets & Flexible Magnets from Magnet Shop! - Magnet Shop

By the way kama unataka kutengeneza a perpetual machine au motor itakayokuwa inajiendasha yenyewe kwa magnetism bila kupata any energy input from the outside source.... (ngoja tu nikupunguzie some hard work and disappointment at the end of sleepless nights and hard work).., It wont work.. (anyway it always pays to experiment at the end of the day you would have known another thing which is impossible)
 
The Pen

Vipi ulishapata hizo magnets ?, na kuhusu motor yako vipi unaweza kuelezea itakuwa inaendeshwaje ?, Je theory yako ni kwamba the only energy iwe ni repel and attraction ? (kama ni only repel and attraction kuna theories nyingi watu wamejaribu sana lakini mpaka sasa hawajafanikiwa.., labda wanaweza kufanikiwa tu wakiweza kupata materials ambazo zinaweza ku-shield magnetic force 100%
 
Last edited by a moderator:
Kwa unachotaka kwa kuzipata bongo itakuwa ngumu mkuu ...
ila kama ni abroad au una jamaa abroad ni za kumwaga as watu wanatumia sana magnets kwenye crafts.., cheki ebay, amazon to name just a few.., au specialized online websites dealing with magnets (all you need is a credit card)

cheki links hizo:-
Industrial Magnetics, Inc. Magnets for Sale
Craft Magnets, Disc Magnets & Flexible Magnets from Magnet Shop! - Magnet Shop

By the way kama unataka kutengeneza a perpetual machine au motor itakayokuwa inajiendasha yenyewe kwa magnetism bila kupata any energy input from the outside source.... (ngoja tu nikupunguzie some hard work and disappointment at the end of sleepless nights and hard work).., It wont work.. (anyway it always pays to experiment at the end of the day you would have known another thing which is impossible)

Thanks sun wu! Khs perpetual motion mm niko interested sana na hii idea, na huwa ninaifuatilia kwa undani; so I'm aware of the disappointments and discouragements some people have faced. It pays to think outside the box rather than confining ourselves to the so-called scientific theories. Anyway, ulishajaribu ukafikia hatua fulani ukakwama? Have you ever read about what's going on in Area 51 in the US?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom