Suma JKT, askari wenu wakorofi mitaani

Suma JKT, askari wenu wakorofi mitaani

suma jkt sio kampuni

MIRADI YA SHIRIKA
Katika kutekeleza majukumu yake, shirika limegawa miradi yake katika makundi makuu matano (5), nayo ni;

  • Mradi wa Ujenzi
  • Miradi ya Kilimo, Uvuvi na Ufugaji
  • Miradi ya Viwanda
  • Mradi wa Zana za Kilimo (Matrekta na Vipuli vyake)
  • SUMAJKT Guard Limited
suma jkt ni shirika la uchumi ila jkt ila suma jkt guard limited ni kampuni ya ulinzi kama ilivyo ultimate na zingine zozote zile
 
Back
Top Bottom